Recent content by Gerad2008

  1. Gerad2008

    Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

    Kama maafisa tena wenye PhD wanapigiwa simu hawatoi official statement huo ni uhuni na wanatakiwa wawajibishwe maana hili suala kuja huku limewafika shingoni wahusika
  2. Gerad2008

    Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

    Nimeulizia nimeambiwa serikali ime inject hela nyingi ASA kwa ajili ya ku promote utumiaji wa mbegu bora. fedha hizi pia zilitakiwa zinunue mbegu wanazozalisha wakulima walioko katika mkataba na ASA. Kama wakulima wazalishaji hawajalipwa hadi leo kuna tatizo katika uongozi wa ngazi ya juu wa ASA.
  3. Gerad2008

    Waziri Bashe tusaidie, ASA wametudhulumu fedha wakulima

    Move ya serikali ni kuhamasisha kilimo kwa kutumia mbegeu bora . Na kama hii imetokea ni kweli wapo watu waliopewa dhamana na serikali kusimamia huu mchakato lakini kwa hili ni dhahiri wanafanya hujuma kwa maslahi yao binafsi
  4. Gerad2008

    Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

    Watu wote waliodhulumiwa na sabaya wangeitwa kutoa ushahidi angehukumiwa kunyongwa. Kesi ya sabaya na Mbowe ni vitu viwili tofauti. sabaya alishtakiwa kutokana na malalamiko ya wananchi ila mbowe kashtakiwa na serikali na mashahidi wanaosema mbowe ni gaidi ni polisi na siyo raia. Mashahidi wengi...
  5. Gerad2008

    Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    Watu hawa hawafai kuwa watumishi wa umma ni watu wanaoleta mateso kwa wananchi . wao wamejikita kuhakikisha kuwa kila fidia inayotolewa wamepata asilimia kadhaa la sivyo hakuna process ya fidia kufanyika.
  6. Gerad2008

    Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    kama wewe ni mwenzao waambie hakuna siri tena. Ushahidi upo na role wanayoicheza kudhulumu ipo namtandao wao ndio huo unaouona hapa. ukitaka ushahidi ingia kwenye email yangu
  7. Gerad2008

    Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    tunamwomba Waziri january makamba atusaidie kwenye hili ili tupate haki yetu
  8. Gerad2008

    Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    Kwa ushahidi zaidi wa malalamiko ninayotoa naweza kupatikana kwenye email: asalute@yahoo.com
  9. Gerad2008

    Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    Ushahidi uko kwa meneja TANESCO mkoa wa Arusha ingawaje anaweza aamua kupoteza tena file ili asibanwe
  10. Gerad2008

    Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    Nafikiri kama tulivyomwomba waziri Mh. january makamba atusaidie na tumempa majina na namba za wahusika kuonyesha huu sio uvumi ni ukweli
  11. Gerad2008

    Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    Hawa watumishi wa TANESCO ni waovu , wana kiburi na hawamjali mtu yeyote wanadhulumu mchana kweupe bila ya hofu. We fikiria wamakataa kuitii na kuifanyia kazi hukumu ya mahakama kuu. Maanake wako juu ya sheria
  12. Gerad2008

    Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    mkuu tunakuamini tunaomba uingilie tupate haki yetu
  13. Gerad2008

    Waziri January Makamba tusaidie kupata fidia zetu TANESCO

    Sisi wananchi wa Makuyuni mkoani Arusha tunaomba tukuletee kilio chetu cha kudhulumiwa fidia zetu na watumishi wa TANESCO mkoa na makao makuu. Majina yao yameorodheshwa chini Mwaka 2017 tathmini kwa ajili ya upitisha umeme wa msongo wa kilovolt 400 ilifanyika eneo la Makuyuni Wilaya ya Monduli...
  14. Gerad2008

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama hawa watu asilimia kubwa ni waaminifu na hawana skendo
  15. Gerad2008

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kuna watumishi waadilifu waliofanya kazi kwa mafanikio makubwa katika miradi mikubwa ya Serikali ambayo ilitekelezwa na kumaliza muda wake. Baada ya miradi hii kuwa imekamilika watumishi hawa nao ukawa ndio mwisho wa ajira zao kwa mujibu wa mikataba yao. Ninamwomba Mh. Mama Samia awatupie...
Back
Top Bottom