Recent content by George Jinasa

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 10 kuelekea Simba vs Orlando Pirates

    Hapo namba 2 angecheza Mwenda, G Michael akacheza 3,Kapombe na Shambalala wakacheza kama mawinga wa uwongo, Wawa akacheza kama 6 wa uwongo na Engeneer kama 8 wa uwongo, Onyango na Inonga kama kawaida, Mgalu Sakho mbele sawa. Hapo hata moja hawapati
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kinondoni Muslim High School Alumni

    Huyu tulisoma darasa moja
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kinondoni Muslim High School Alumni

    Tunajivunia kutoa naibu spika
  4. G

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Huyu bwana tulikuwa naye lupango
  5. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Tumetoka kwa M Mungu na kwake sote tutarejea, Jina la M Mungu lihimidie. Apumzike kwa amani mzee wetu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wazamani (wahenga) tukutane hapa

    Mnakumbuka story ya mtu aliyegeuka chatu pale Buguruni wahenga wenzangu?
  7. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

    Tumetoka kwa M Mungu na kwake sote tutarejea. M Mungu amsamehe madhambi yake na amlipe kwa mema yake. Amin. Dini zetu zinatufundisha kwamba mtu anapotangulia mbele ya haki husemwa kwa mazuri yake na sio mabaya yake. Wach
  8. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

    Tumetoka kwa M Mungu na kwake sote tutarejea. M Mungu amsamehe madhambi yake na amlipe kwa mema yake. Amin.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

    Kwa maoni yangu, bila kujali nini msimamo wa Serikali, sisi kama watanzania, wenye nchi, tunahaki na wajibu wa kutafakari juu ya mstakbari wa kesho ya nchi yetu. Mijadala inayofanyika katika mtandao huu na mitandao mingine ya kijamii inaonesha pasna shaka kwamba kuna majibizano yanayoashiria...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

    Pamoja na yote haya nini kifanyike ili kuondoa mivutano ya kidini na chuki za wazi zinazoanza kujitokeza kati yetui? Ningeshauri ili mjadala huu uwe na manufaa tujitahidi kwenda zaidi katika kutafuta suluhisho. Historia kama historia ni somo zuri na lina mambo mengi. Ukweli na relevancy ya...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

    Hamna shida kaka binaadamu tunakosea. Nipo nasoma andiko ulilonirejesha nitakuja kuchangia baada ya kulisoma
  12. G

    JamiiForums Tanzania Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

    Kaka Mohamed hata siku moja siwezi kufungua kinywa change kumtukana mtu yoyote katika ukumbi huu, achilia mbali wewe. Maandiko yangu ni yale yanayoonekana juu nikijibu maandishi ya kaka Adoloy sio Mpingashetani kama nilivyonukuu kimakosa yanayoonekana hapo juu hasa hoja yake kwamba chuki...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

    kaka mimi siwezi hata siku moja kukuita msomi fake. Maelezo yangu mimi ni yale ya juu niliyokuwa namjibu Mpinga Shetani katika maelezo yake hapo chini. George Jinasa, Kipi kinachokufanya wewe unitukane kwa kuniita "msomi fake?" Tujaalie mie si lolote si chochote wala huo "usomi" sina. Basi...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

    Kaka siamini kwamba unawatendea haki waislamu katika maneno yako haya makali. Maneno na majibizano ya namna hii yanachochea na kutia mafuta katika chuki miongoni mwetu jambo ambalo sote na kwa faida yetu tunapaswa kujiepusha. Ni vizuri kila mtu akaheshimu imani ya mwenzie. "Allah" nijuavyo mimi...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

    Mpinga Shetani, haya mafundisho ya watoto katika madrasa yamekuwepo toka toka hata kabla ya ukoloni na bado vijana na wazee waliyosoma katika madrasa hizo wameishi kwa amani na upendo na ndugu zao wa dini zingine. Hapakuwepo na majibizano ya chuki na hisia kali za kidini kama tunavyoziona leo...
Back
Top Bottom