Recent content by Georeez

  1. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Tanzania Syllabus kwa shule za Msingi na Sekondari

    Kwa mwenye nanma ya kuweza kupata mitaala ya masomo kwa shule za Tanzania
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wahanga sua washangilia kuonekana na heslb

    kwa hao wa sua waliopewa few days past!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wahanga sua washangilia kuonekana na heslb

    jaman any1 cn tel us the number ya waliokuwa considered?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Wale wa mzumbe mpo!

    Jamani from the Currently updates nilizozipata from chuo ni kuwa utaratibu wa ugawaji rum za ndani ya chuo hautakuwa kama miaka ya nyuma..!!1st masters students hawatapewa rum kabisa,na all students who rnt admited by TCU including those who will be taking Certificate,Diploma and Mature entry...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nawauliza wanaochukua ITM,ITS na ITB mzumbe

    wote wanaenda field kwa mwaka wa kwanza tofauti ni kuwa ITB wanasoma IT pamoja na busnec ikiwa na accnt kwa sana n finance,ICTM nt ITM!wanasoma IT pamoja na management kwa ujumla. Whle ITS Wanasoma pure IT bila kuchanganya na vi2 vingine vyovyote hpe it help!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wale wa mzumbe mpo!

    c kwel any1 anaweza kupata rum az lng az umewah mapema!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mzumbe guyz!!!!naomba msaada kwa hili

    then jifunze kuish kigumu semister nzima stationary haizd 50 mi nimeweza am sure u kan make t 2
  8. G

    JamiiForums Tanzania Wale wa mzumbe mpo!

    vyumba ujanja kuwah dogo ukitaka kupata in campus cku ya kwanza ya registration uwe chuo ukiwa umelipa kila ki2 huna deni hata senti otherwz outside rmz r much xpensiv na most low quality those wit standard vko mbal frm chuo?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mzumbe guyz!!!!naomba msaada kwa hili

    kama unataka kujua amount inayotolewa na board ya mikopo ni hyo raia aliyemention hapo juu bt generally cost za stationary zinavary kwa kila m2 kutegemeana na mipango binafsi kwa mfano kuna m2 toka anaanza chuo mpaka anamaliza cost ya stationary iczd hata laki 1.kwa hyo kila ki2 ni mipango 2!
  10. G

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya bodi ya mikopo kwa continuing students ambao hapo awali walikosa mikopo.

    thanx 4the info raia jukwaa hili linawategemea wa2 kama ninyi keep t up!
  11. G

    JamiiForums Tanzania Any one who knows about the continuing students who apply for loan?

    there was a number of student especially from last year who were told to apply again for loan this year bt am wondering if there is any1 who acqure loan this year...!!if there is any pliiz let us know?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu uandishi wa vitabu Tanzania

    Wana JF Education forum nilikuwa naomba anayejua sheria na taratibu za kufuata ili kuruhusiwa kuandika vitabu vvya masomo mbalimbali kwa level yoyote ya elimu tanzania isipokuwa UNIVERSITY LEVEL BOOKS.....!!Msaada pliiz kwa mwenye idea..!!
  13. G

    JamiiForums Tanzania Siasa za HESLB zinawalaza njaa wanachuo!

    Kamanda wangu mi nimeheshimu mawazo yako...!ktka vingi nilivyowah kuvikuta kwenye hii forum hili nimelipenda mi co mwana Udsm bt nakussupport 110%.acha na hao wanaojifanya hawajui kugoma washinde njaa 2one mwisho wake!
  14. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maujanja ya Computer haya(Must read)-No 4:

    Kamanda kuanzia leo i will be your favourite member b'coz am new in ITs field n now am studin BSC ICTM at Mzumbe n i wish 2know those stuff keep it up bradah............?????
  15. G

    JamiiForums Tanzania UDSM kumekucha.

    kuwa wewe we unadhani huyo kikwete ni kama vocha za tygo ukimtaka mda wowote unampata aibu wao ndio wametutia aibu kama huna cha kuchangia kaa kimya..!
Back
Top Bottom