Recent content by genesisbryne

  1. G

    JamiiForums Tanzania Msaada anal fistula

    sijajaribu kwenda pale ingawa nilipiga simu zao wakaniambia wao wamebase sana kwa RECTOVARGINAL fistula upande wa kina mama.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Msaada anal fistula

    Hello! Habari zenu, tafadhari naomba kwa mtu yeyote anayefahamu datrari bingwa wa fistula, (anal fistula) anipatie maelekezo maana nina tatizo hili na nimeshafayiwa operation mara moja bila mafanikio. Au kwa yeyote aliyewahi kuugua kisha kupata matibabu na kupona naomba anipatie msaada ahsante
  3. G

    JamiiForums Tanzania Msaada anal fistula

    Hello! Habari zenu, tafadhari naomba kwa mtu yeyote anayefahamu datrari bingwa anipatie maelekezo maana nina tatizo hili na nimeshafayiwa operation mara moja bila mafanikio. Au kwa yeyote aliyewahi kuugua kisha kupata matibabu na kupona naomba anipatie msaada ahsante
  4. G

    JamiiForums Tanzania Fistula: Sababu, dalili, athari na tiba

    Ndio kaka fistula inampata mtu yeyote na tena inaweza kutokea sehemu yeyote ya mwili wa binadamu, inayowapata wanawake pia ni aina mojawapo ya fistula, tafadhari hebu tembelea wavuti hii.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Fistula: Sababu, dalili, athari na tiba

    Habari zenu wana JF Samahani naomba msaada kwa mtu yeyote ambaye anajua sehemu gani wapo maspecialist wa FISTULA, Nikimaanisha daktari bingwa wa kutibu fistula!, nimejaribu kufika CCBRT lakini nimeambiwa pale wanadeal na fistula kwa wanawake tu. Ahsanteni
  6. G

    JamiiForums Tanzania Selection za udsm hizo ...........!!!

    mmmh jamani mbona jina langu halipo tena!!!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Duu!! Hata kwenye magazeti mtusi yanaruhusiwa!!

    mmh makubwa hayo!! kwani hamnaga wahariri kwenye magazeti hayo!!
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shafii daudi acha mbwembe unatukera, jaribu wewe.

    wabongo ndivyo tulivyo huwa tunaponda sana vya kwetu na kushabikia vya nje!!! wapo wengi tu kina shafii!!! wanaishia kuwa na porojo nyiiiingi zisizo na maaana. THIS IS THE TIME FOR ACTION ......! hatutati porojo
  9. G

    JamiiForums Tanzania TBC (Other TV station) Hata AFCON 2012 LIVE tumeshindwa!!!!

    for sure huu ni uzembe!!!!
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ni mateso jamani/ kupenda kubaya sana

    Ni takribani miezi 6 sasa toka nilipaachana na rafiki yangu, lakini mpaka leo hii napoandika thread hii naumia moyoni kila nikimkumbuka nilikuwa na ndoto nyingi nae katika maisha yangu bali kutokana na sababu nilizochindwa kuvumilia kwa muda mrefu nikaona nijiweke pembeni. nimeshindwa kabisa...
Back
Top Bottom