Recent content by G_crisis

 1. G_crisis

  Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

  Ile penalty ni sahihi kwa sababu mkono ndio ulikuwa wa kwanza kucheza mpira ambao ulikuwa unaelekea langoni mwa Spain na pia Mkono wa Pique ulikuwa on way kufuata mpira!
 2. G_crisis

  Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...

  Wanunue vikombe vya Chai wapelekee wake zao Zawadi kutoka Russia[emoji23][emoji23][emoji23]
 3. G_crisis

  Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

  Salah out....
 4. G_crisis

  Kunaulazima Rais aanzie miaka 40? mbona hawa walifanya makubwa kwenye umri mdogo.

  Umesahau na kutoa mfano wa hapo jirani kwetu Burundi[emoji41]
 5. G_crisis

  Weekend Story! All is Fair in Love and War!

  Hii page inaongoza kwa 'refresh page'
 6. G_crisis

  Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

  Refa Kazingua kinyama
 7. G_crisis

  Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

  Mawili kabisa
 8. G_crisis

  Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

  Hamna hayupo fiti....atolewe huyu asiumie zaidi! He has unfinished business with Liverpool
 9. G_crisis

  Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

  CR7 injured.....
 10. G_crisis

  Askofu Mkuu Zachary Kakobe aitwa Uhamiaji Jumatatu kuhojiwa juu ya uraia wake

  Tatizo sio kwa mtu yeyote Tanganyika hii kuhojiwa, tatizo linaanzia kwenye Timing ya kumhoji Mtu. Hapa ndio weledi wa utendaji unapokuwa kwenye Mashaka!
 11. G_crisis

  Uingereza kuikopesha Ethiopia vitu vya makumbusho ilivyochukua miaka 150 iliyopita

  Badala warudishe na walipe fidia, wanarudisha kwa Mkopo?????? hivi AU haiwezi kusimamia kudai Mali za Africa zilizoporwa ambazo mpaka Sasa zipo na zinaingiza kipato huko ulaya!!
 12. G_crisis

  TRA Arusha wanafukuza wafanyabiashara

  Mfanyabiashara yupo tayari kulipa Kodi ya pango ya frem Sh. 3,600,000 kwa mwaka, lakini anaona anaonewa kwa kukadiriwa Kodi ya Mapato ya Sh. 546,000 kwa Mwaka!!!!!! Wenzenu waajiriwa wanakatwa Kodi kila mwezi Bila malalamiko! Tulipe Kodi kwa maendeleo yetu.
 13. G_crisis

  Leo 5/11/2017 naacha pombe rasmi

  Jamani mbona unataka kwenda kinyume na Sera ya awamu ya tano "Tanzania ya viwanda"
 14. G_crisis

  Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

  Hizi defeat labda zitampa Zidane akili Mbadala
 15. G_crisis

  Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

  Sasa hivi kuangalia Match ya Real Madrid imekuwa uncertain.....worse performance today[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Top Bottom