Recent content by Fusofuso

  1. F

    Mitsubishi fuso (tipper) ton 10: For sale!

    Babu, hiyo ni bei ya kuanzia......maongezi yapo kwa yeyote aliye serious.....karibu sana!
  2. F

    Mitsubishi fuso (tipper) ton 10: For sale!

    OMEGA Huo ni mtazamo wako binafsi, ambao sina shaka ni mtazamo hasi katika dunia ya leo. Kwani ni watanzania wangapi wanauwezo wa kununua magari mapya....na ambayo yanauzwa na watu anyway. Hata huko Japan, magari haya haya yametumiwa na watu na pengine wanaamua kubadilisha au ni shida tu katika...
  3. F

    Mitsubishi fuso (tipper) ton 10: For sale!

    Niwie radhi sikuwa hewani tangu juzi. Bei ninaanziaTSh 55m (mazungumzo yapo). Linapaki Mbuyuni-Kunduchi along Bagamoyo Road. Linauwezo wa kupepa 25ton ni kwa ajili ya kazi zote nzito nzito kama ulivyozitaja baadhi yake hapo juu. Ninaliuza kwa sababu ninahitaji fedha ya kuongezea maana...
  4. F

    Mitsubishi fuso (tipper) ton 10: For sale!

    Doltyne, naomba niwie radhi sikuwa hewani tangu juzi. Bei ninaanziaTSh 55m (mazungumzo yapo). Linapaki Mbuyuni-Kunduchi along Bagamoyo Road. Linauwezo wa kupepa 25ton ni kwa ajili ya kazi zote nzito nzito kama ulivyozitaja baadhi yake hapo juu. Ninaliuza kwa sababu ninahitaji fedha ya...
  5. F

    Mitsubishi fuso (tipper) ton 10: For sale!

    WanaJF Mitsubishi Fuso 10 ton (tipper) linauzwa. Lina hali nzuri sana! Ni wiki moja tangu limevalishwa tairi 10 mpya. Ni Fuso ya Dec 1994 na limetembea Km 78,201. Liliagizwa toka Japan na linafanya kazi hapa nchini takribani miezi 18 sasa. Usajiri wake : T......BBR
  6. F

    Mitsubishi fuso (tipper) ton 10: For sale!

    Che Guevara, nisamehe sana mkuu. Unajua tena........
  7. F

    Mitsubishi fuso (tipper) ton 10: For sale!

    Mitsubishi Fuso 10 ton (tipper) linauzwa. Lina hali nzuri sana! Ni wiki moja tangu limevalishwa tairi 10 mpya. Ni Fuso ya Dec 1994 na limetembea Km 78,201. Liliagizwa toka Japan na linafanya kazi hapa nchini takribani miezi 18 sasa. Usajiri wake : T......BBR
  8. F

    Mitsubishi fuso (tipper) ton 10: For sale!

    Mitsubishi Fuso 10 ton (tipper) linauzwa. Lina hali nzuri sana! Ni wiki moja tangu limevalishwa tairi 10 mpya. Ni Fuso ya Dec 1994 na limetembea Km 78,201. Liliagizwa toka Japan na linafanya kazi hapa nchini takribani miezi 18 sasa. Usajiri wake : T......BBR Niwie radhi, ninajua kuwa hii si...
  9. F

Back
Top Bottom