Recent content by Fundi Mchundo

 1. F

  For CHADEMA Followers: What comes around goes around

  Kiingereza ni kigumu kuliko mnavyodhani. Hamna usemi unaosema " What comes around goes around ". Uki Google utajua. Amandla
 2. F

  For CHADEMA Followers: What comes around goes around

  Ni " what GOES around comes around". Amandla.......
 3. F

  Madiwani 11 wa CHADEMA wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya wahamia CCM

  Katika demokrasia yetu wabunge na madiwani wanachaguliwa kupitia vyama vya siasa. Kwa hiyo, wananchi wanakipigia kura chama ambacho huyo anayegombea anakiwakilisha. Ndio maana mbunge /diwani anapopeza sifa ya kuwa mbunge pale uhusiano wake na chama anachowakilisha unapovurugika. Sasa ni kwa...
 4. F

  Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

  Ingependeza zaidi kama angevaa t shirt ya chama chake kipya. Amandla..........
 5. F

  TCRA kulazimisha laini moja tu kwa kila mtandao kwa Raia si sahihi!

  Sasa atawezaje kujua wameona au wameshuhudia nini bila wenye kufanya maamumizi kutoa sababu za kuyafanya? Amandla....
 6. F

  TCRA kulazimisha laini moja tu kwa kila mtandao kwa Raia si sahihi!

  Hivi kwa nini wanakunyang'anya namba kama hujaitumia kwa siku 90? Mtu ukipata kozi ya zaidi ya siku 90 basi line yako unapoteza? Wengi gharama za ku roam haziwezi. Hizi namba tunawapa wengi na ukiipoteza ni usumbufu mkubwa! Na kuna raia wanaishi nje na wanamiliki laini za simu kuwarahisishia...
 7. F

  Makonda: Kigamboni inaweza kuwa kama Visiwa vya Jessie. Nitaigeuza kuwa kama mji wa Manhattan Marekani

  Mbona anaingilia taaluma za watu? Yale maghorofa ya Manhattan na yanayoendelea kujengwa Hudson Yards hayajajengwa na serikali. Na kuwa na skyscrapers haina maana kuwa umeendelea. Angeshughulikia kwanza makazi duni ambamo wakazi wengi wa Dar es Salaam wanaishi. Hiyo Kigamboni anayoiota haitakuwa...
 8. F

  Hii picha kila niitizamapo moyo hupata maumivu. Nini ilikuwa hatma ya huyu kijana?

  Zamani ilikuwa hivyo. Sasa hivi huo ushikaji unaouzungumzia haupo tena bungeni na nje ya bunge. Amandla........
 9. F

  Mitt Romney akalia kuti kavu GOP baada ya Usaliti, hata USA usaliti not allowed!

  Senate haina mamlaka ya kum impeach rais. Kazi hiyo ilishafanywa na wakina Pelosi. Maamuzi ya Senate ya kukataa kumvua urais hakubadilishi status yake ya kuwa alikuwa impeached. Donald Trump Jr ni domo kaya. Hana mamlaka yeyote kwenye chama cha Republican. Kingine ni kuwa mtu hahitaji kuwa...
 10. F

  Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

  Kwa hiyo " akili maandazi" ni sifa nzuri? Kwa kujua kuwa anatafuta ujiko wa siasa ndio mkaone heri mumpe ujiko huo! Amandla.......
 11. F

  Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

  Barua ya kufukuzwa (iliyoandikwa na Katibu Kata wake) imetoka baada ya video ya yeye kuwasema vibaya viongozi wa Chadema Arusha ( hakumsema Lema peke yake) kusambaa kwenye social media. Sasa mtu yeyote ataviunganisha hivyo vitu. Kama kuna sababu nyingine basi waliomfukuza wataweza kuitoa. Mimi...
 12. F

  Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

  Sasa hamuoni kwa kumtimua namna hii ndio mnathibitisha kuwa Chadema Arusha imevurugika? Kwa vile mliishamstukia, mngejibu tuhuma zake na kumwambia kuwa sio vizuri alivyofanya. Angeendelea ndio mngemfukuza. Hapo hamna ambae angemtetea. Amandla....
 13. F

  Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

  Kuna set precedence. Baada ya huyu watafukuzwa wengi tu. Au wataamua kukaa kimya na kutotoa ushauri pale unapohitajika. Amandla.....
 14. F

  Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

  Kukosoa ni sehemu ya kutoa ushauri. Unakosoa halafu unatoka ushauri wa nini cha kufanya ili kuokoa jahazi. Na ndivyo alivyofanya huyu Mheshimiwa. Amandla....
 15. F

  Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

  Hivi ukimtukana mtu usiyemjua unapata faida gani? Unajisikia kama kambabe fulani au siyo? Bila shaka wewe ni mashabiki na sio mwanachama wa Chadema. Huyu unaemshambulia amesema hadharani kinachomkera katika chama chake kwa sababu anaona kinakoelekea si kizuri. Kwa kufanya hivyo amekipa fursa ya...
Top