Recent content by Forest Hill

 1. Forest Hill

  Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

  Vipi Kama una kibanda Cha urithi na pikipiki ndogo,,mshaara huo unatosha???jibu bado hapana
 2. Forest Hill

  Vile mashauzi yalivyoniumbua

  Kitaa nilichohamia nikitoka kwangu nyumba ya tatu kuingia Barbara kubwa asubuhi wa mama wapo nje wanafanya bizness zao,week ya Kwanza yote nilikua naaamkia,Kuna siku nimeamkia bwana napiga hatua tatu mbele nasikia wanasemezana kwa sauti ya chini "huyu Kaka si mtu mzima kabisa anaamkia amkia tu "...
 3. Forest Hill

  Vile mashauzi yalivyoniumbua

  Wakati nipo mdogo nasoma shule ya msingi, msimu Kama huu wa sikukuu mama alimpa pesa baba mdogo anisindikize sokoni kununua nguo,tunapita mtaa Fulani nyuma yangu mpiga debe ananiita "wee dogo,wee dogo" Mimi nashupaza shingo najua wahuni tu sigeuki,jamaa mpiga debe akaja Hadi kunigusa bega "we...
 4. Forest Hill

  Story of Change Baadhi ya vitu nitakavyowafundisha wanangu kabla ya kifo changu

  Jinsi ya ku vote nikupigie kura faster kabla sijazima data
 5. Forest Hill

  Wachambuzi pia huchambuliwa

  Nakubaliana nawe kwa yote uliyoandika...
 6. Forest Hill

  I need english speaking friend(s) as part of my preparation for IELTS

  Just doing good,,not very good but atleast yeah I've made some progress,,how about you
 7. Forest Hill

  Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

  Wakati nipo secondary Mshua alikua busy sana harudi home hata miezi 6,wakati alikua anarudi kila ijumaa,kazini kwake mbali,,baba mdogo akanipa SIRI NYOKO kua baba yako kaoa mwanamke mwingine ndo maana harudi kabisa,,ila usimwambie mama yako..nikatunza siri miaka lundo,.,mwaka juzi namwambia bi...
 8. Forest Hill

  Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

  Nisije mwaga radhi..kahawa tu nimechukua kulala saa 9
 9. Forest Hill

  Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

  Lol sijawahi kunywa pombe ila leo nna hamu na kesto right...lazima ninywe
 10. Forest Hill

  Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

  Haha siku nzuri leo
 11. Forest Hill

  Anza hivi Kucheza kwenye draft, utasumbua sana.

  Ndugu zangu Nani anifundishe draft??nafungwa kama mtoto
 12. Forest Hill

  Muonekano wa Madonna akiwa na miaka 63

  Malikia wa Pop ni Taylor Swift..huyo bi kizee akalee wajukuu
Top Bottom