Field Marshall ES

Profile posts Latest activity Postings About

 • Salaam,
  Naomba ground zero za ZnZ, jee JK na top brass yake, walienda kumtia kibano Karume na wapambe wake?.
  Je ni kweli Karume anataka third term kisirisiri kama Comandoo.
  Jee CCM is involved?
  Je kunanini haswa ndani ya mazungumzo ya Karume na Seif?
  Natanguliza shukrani.
  HI! I want to join freemasonry but still now not yet,may you help me? I am a male 33 years,in Arusha town Tanzania. Mobile phone 0717638253
  1. Mkuu Kevo,
  - Ahsante sana kwa ujumbe mzito sana na nimefarijika mimi na familia yangu, yaani mke na watoto wangu wawili, ninakuombea kwa Mungu pia akupe mwaka mpya na Kritsmas njema.

  2. Mkulu Bubu,
  - Heshima mbele sana na ninashukuru sana kwa ujumbe huu wa heri, ninaomba kurudisha kwako na familia yako, kwamba Mungu awape mwaka mpya wenye mafanikio na Kritsmas njema sana,

  3. Mkuu Lusajo,
  - Wewe ni the future JF, ninakutakia yote mema ya kuanzia mwaka mpya na Kritsmas pia, ninashukuru kwa ujumbe wako na ninakutakia mafanikio mema,

  4. Mkuu Steve D,
  - Heshima ikurudie na shukrani kwa ujumbe wako, mimi na familia yangu tuko sawa na sasa hivi tunajitayarisha kwenda kanisani kutoa heshima angalau kidogo kwa Muumba ninaomba ufikishe salaam zangu na familia yangu kwa familia yako.

  5. Wakulu Congo na Nelson,
  - Heshima pia kwenu wote, sio kwamba nimewa-ignore hapana ila unajua shughuli za maisha, lakini ninaomba kuwatakia Kritsmas njema na mwaka mpya ulio na neeema.
  Marry Xmas Bro wewe pamoja na familia yako. Na hopeful mambo ya 2009 yatakuwa mavuri zaidi. Tuombeane.
  Hello FMES,

  I would like to take this opportunity to wish you and your loved ones a very Merry Xmas and a happy and prosperous New Year. Also I wish you good health, happiness and good luck during the coming year of 2009.

  May God bless you and your loved ones.

  Merry Xmas and a Happy and prosperous New Year.
  Christmass is a season of good warmth and cheer and I hope it feels your home with happiness and hope this year.
  May You receive much joy and two special Christmass gifts.
  One,Love to make your heart glow and two,to give your soul a lift.
  I'll pray that God's blessings are with you across every mile.
  May you find much happiness and many reasons to smile.
  Merry Christmass.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top