Recent content by Field Marshal

 1. F

  JWTZ kwanini hawatangazi ajira kwa graduates?

  walichukuliwa graduates wa mwaka gani au randomly?
 2. F

  Nina basic technician certificate ya civil engineering, Natafuta kazi

  ongeza elimu mkuu,level 4 ni ndogo mno labda kama ulitokea veta.
 3. F

  JWTZ kwanini hawatangazi ajira kwa graduates?

  mwaka jana au juzi kama sijasahau kuna wahandisi walikua wanasema wamefatwa vyuoni humu kama walienda kozi basi sidhani kama kunauhitaji huo kwasasa.
 4. F

  Nafasi 3000 za JWTZ na waliopita JKT kwa Mujibu wa sheria.

  hii thread ndio kusema imepitwa na wakati au wakati umeipita hii thread?
 5. F

  Nafasi 3000 za JWTZ na waliopita JKT kwa Mujibu wa sheria.

  wacha nikusaidie ha ha ha ha ha ha ha...ingawa sijui kipi kikuchekeshacho.
 6. F

  Nafasi 3000 za JWTZ na waliopita JKT kwa Mujibu wa sheria.

  Nawatakia jumapili njema PROFFESIONAL na MUJIBU wote.
 7. F

  Nafasi 3000 za JWTZ na waliopita JKT kwa Mujibu wa sheria.

  hongereni wote ambao hongera inawahusu.
 8. F

  Nafasi za JKT zinatoka lini?

  kwa mamlaka nilionayo ikiwa ni juma la pili la mwezi wa 10 nawatakia heri ya siku ya Nyerere.
 9. F

  Nafasi 3000 za JWTZ na waliopita JKT kwa Mujibu wa sheria.

  kwa mamlaka nilionayo natumia nafasi hii kuwatakia heri ya siku ya nyerere.
 10. F

  MBINU:Jinsi ya kujiunga na jeshi la JWTZ na JKT

  vyote ulivyoandika sio kweli mkuu.
 11. F

  MBINU:Jinsi ya kujiunga na jeshi la JWTZ na JKT

  weka ushahidi wa kauli yako.
Top Bottom