Recent content by Fernando Jr

  1. Fernando Jr

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    We ngoja sasa akitoka hapo ni polisi pamoja na binti. Kisha utasikia wote wawili sukari ilipanda tukawakimbiza hospitali kuokoa maisha yao, bahati mbaya wakafariki njiani! Polisi ya Iran haina tofauti na polisi ya CCM.
  2. Fernando Jr

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    Kumbe upo timamu namna hii! Sasa yale madude unatuandikiaga huwa unayatoa wapi?
  3. Fernando Jr

    Vikwazo dhidi ya Israel vinavyowekwa na Marekani vinatuma ujumbe gani kwa mashabiki wa vita ya Gaza?

    Duh Kuna wanadamu wamefikishana kubaya sana! Bongo huu uzezeta wetu unatucost lakini kuna mambo mengine unatusaidia
  4. Fernando Jr

    Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

    😁😁😁anailawiti kabisa
  5. Fernando Jr

    Kamati ya kuombea msamaha watuhumiwa wa report ya CAG wamemaliza kazi

    Hao watakuwa ni bure tu misamaha wanawapotezea, wanawaona mananga unaibaje 10M
  6. Fernando Jr

    Kifuani kwa mpenzi wangu

    Team kataa ndoa tunakomenti wapi? ##kataandoa## ##ndoaniujambazi##
  7. Fernando Jr

    Huyu ndio gwiji, jabali na Mfalme wa muziki nchini Tanzania

    Dah nimezaliwa miaka ya katikati ya 90 na 2000 na nimetoka kapa kabisa! Au nami mtaniita kizazi cha akina mondi?
  8. Fernando Jr

    Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

    Yaani miezi yote hiyo na hela zote hizo halafu nikulale mara moja!? Hii aidha ni chai, au huyo Chris ni hanith aliyechangamka
  9. Fernando Jr

    Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

    😁😁😁we kila angle umekutana na balaa tu, Hadi walokole wamekunyoosha?
  10. Fernando Jr

    Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

    Kama waolewaji wenyewe ndo hawa, naomba nitangaze rasmi kujiunga team kataa ndoa. I hope Chris hatowaangusha singo mazaz kwa kuwaongezea mwanachama mmoja soon. dronedrake naomba utaratibu wa kadi ya chama. ##kataandoa## ##ndoaniwizi## ##ndoaniutapeli## ##ndoaniujambaz########
  11. Fernando Jr

    Ujumbe kwa Dkt. Nchimbi - Cheo chako Hukitendei haki

    Mnamtaka bashite na mazingaombwe yake! Watanzania ni watu wa bei rahisi sana aisee! Ni kama wanawake, hupenda zaidi kudanganywa na kuigiziwa kuliko kuambiwa ukweli na uhalisia
  12. Fernando Jr

    Kamati ya kuombea msamaha watuhumiwa wa report ya CAG wamemaliza kazi

    Lakini huyo Magufuli katika hizo reports nadhani ndo alikuwa hovyo zaidi hata siwezi kumsifu Yeye hakutaka hizo hasara zisomwe kabisa, badala yake zilitengenezwa faida za kwenye makaratasi tu kuuhadaa umma uone anavyougonga mwingi kupitiliza. Ndo sababu akazinguana na na CAG Prof. Assad na...
  13. Fernando Jr

    Kamati ya kuombea msamaha watuhumiwa wa report ya CAG wamemaliza kazi

    Duh laana ya hii nchi ni spesheli. Nadhani tulilaaniwa na mamlaka zote, yaani mbinguni na kuzimu kote hatutakiwi
  14. Fernando Jr

    Watanzania waliopata umaarufu wa ghafla mitandaoni na kisha kupotea

    Dah nilisikia sikia kuwa alikatwa mguu huyu mwamba Kwa sababu ya sukari
  15. Fernando Jr

    Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

    Duh kumbe ni mipasho! Sawa dada wa buza, nimekuelewa.
Back
Top Bottom