Kinachoonekana ni kuwa Edward ni hatar zaidi au ana nafasi kubwa sana ya kukiwakilisha chama ndani na nje ya chama cha mapinduzi hivyo kupelekea wagombea wengine kuwa na mipambano miwili kuelekea urais (mpambano dhidi ya Edward na mpambano dhidi ya uchaguzi mkuu)
Binafsi sidhani kama kutakua na tatizo lolote kama rais wetu akitumia busara alizozitumia addis ababa KUMUONYA General kagame.
Hii itatoa taswira halisi ya hatua gani zifuatwe kama ONYO hilo halitasikilizwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.