Recent content by Fasta fasta

  1. Fasta fasta

    Kumi bora ya vyama vya siasa vilivyofanya vizuri 2022

    Mtuwekee dokezo tupige kura Kama lililopita la kushindanisha magwiji wa siasa hapa JF. Tunataka tuwabatize watu hapa hapa wajuwe chadema sio mchezo. Likiwezekana Admn aliunganishe site zote mpaka afya. Kama mtu mmoja atakuwa na ID mbili au tatu liachwe tu. Lengo liwe chadema imekufa au kipo hai.
  2. Fasta fasta

    Ziara ya CHADEMA huko Ulaya yashika kasi

    Ok eti Dakitari msukuma anasema yeye siyo chawa. Hongereni Sana mapambano yanaendelea. Ila huko nyumbani tunasikia makelele. Hao vijana wameshaanza kugombana mama yao sijui katoka?
  3. Fasta fasta

    Daktari Musukuma: CHAWA ni mdudu mchafu anayejificha kwenye nguo za ndani!

    Ama kweli Jamaa kakwazika. Anaweza kuuwa mtu. Hivi chawa na kunguni si aina moja. Nawasikia tu jamani.
  4. Fasta fasta

    Ally Hapi awa mbeba magunia

    Alichezea ndevu za wazee. Anajichanganya kwa wakulima ili wasahau. Moto anaochea Sabaaya sio wa mchezo. Mungu bwana ni hakimu ambaye anatuangalia kimatendo na maongezi.
  5. Fasta fasta

    Tundu Antipas Lissu ni nani hasa?

    Yaani ulivyoeleza nakuona Kama vile unasimulia huku unatembea. Tunatamani kuendelea kusoma gafla ikaisha.✌️
  6. Fasta fasta

    Chadema yaanza ziara ya Kikazi Nchi za Ulaya

    Hivi yule waziri wa kukata mauno bado yupo? Kapotelea wapi? Mwenye ile clip ya masambende ya kijani tuwekeeni tuone. Huko lumumba hakuna walezi mnaharibu vijana wetu kwa upumbavu. Ukimuuliza kijana unaenda lumumba mawe yanakuhusu Kama mvua inanyesha. Duuuuu
  7. Fasta fasta

    Chadema yaanza ziara ya Kikazi Nchi za Ulaya

    Wataachia tu. Ungekuta mchakato wa katiba mpya umeshaanza. Wale covid 19 wanamkosi. Wangefungiwa wangelegea wenyewe. Chedema kuweni makini hii mikopo Madilu anasaini kila kukicha Kuna Jambo.
  8. Fasta fasta

    Air Tanzania yasimamisha Ndege zote za Airbus A220 kutokana na matatizo ya injini

    Yaani ni afadhali wangekusanya watoto wa miaka 15 zaidi ya 500 wakawasomesha professional mbalimbali kwa vitendo kuliko huo upumbavu. Hao vijana tungewatumia miaka mingi na wale wenye makaratasi yao ndani wangeenda kulima. Mchina alicheza hakukosea na wale vijana hawakutetereka walifanyakazi...
  9. Fasta fasta

    Air Tanzania yasimamisha Ndege zote za Airbus A220 kutokana na matatizo ya injini

    Acha kujirembua ndugu, hili tatizo la kuwafinya wanyonge ni wapumbavu wanalo sana. Kweli wangekuwa na uchungu kwa watanzania walivyomasikini wangetumia Kodi kwa makini na Sheria zitumike katika manunuzi na kutunza Mali za serikali. Kama serikali inaweza kununua gari la milioni 300 baada ya...
  10. Fasta fasta

    Air Tanzania yasimamisha Ndege zote za Airbus A220 kutokana na matatizo ya injini

    Madalali wanataka kujiuzoa Kama kaeaida yao. Wabongo ni shida kweli kweli. Halafu ni maphd.
  11. Fasta fasta

    Joseph Musukuma: Dkt. Bashiru ana PhD kama yangu, iweje aseme tusimsifu Rais?

    Ukiwa na pilipili lakini. Huoni udenda unavyoshuka. Jamaa amekaa pale anacheka wamavyohangaika na kutema meno yaliyovunjika.
  12. Fasta fasta

    Joseph Musukuma: Dkt. Bashiru ana PhD kama yangu, iweje aseme tusimsifu Rais?

    Jamaa katupa fupa ambalo halitafuniki.
  13. Fasta fasta

    Hii Clip imfikie Rais Samia, ukweli mchungu ambao waliomzunguka hawataki ausikie

    Nimejiuliza maswali mengi Sana lakini sipati picha? Mara anamtaja Kabudi Mara Iddi Amin Mara Ghadafi. Embu atupe ushuhuda wa Kabudi wa kikazi aliosaidia watanzania wakati akiwa waziri? Ninachokimbuka ni ahadi za NOA kila mtanzania, Juice ya madagaska, mbwembwe za kutaka aaminike kuwa anaijua...
  14. Fasta fasta

    Hii Clip imfikie Rais Samia, ukweli mchungu ambao waliomzunguka hawataki ausikie

    Ndiyo maana tunataka apunguziwe majukumu. Wapo watu ambao wanaweza kufanya hayo majukumu kikatiba. Kuna bunge Kuna mahakama, hi ni dira ambazo hazitakiwi kuyumbishwa. Rais hatakiwi kutia hapo mkono.
  15. Fasta fasta

    Hii Clip imfikie Rais Samia, ukweli mchungu ambao waliomzunguka hawataki ausikie

    Nimesikiliza sikuweza mpaka mwisho. Uvumilivu umenishinda Happ ulipomtaja mwendazake. Yaani unamlinganisha muuwaji na mama? Mengine umeongea vizuri na uko vizuri lakini Happ kwa mwendazake umebugi. Huyu mwendazake karudisha watanzania ezi za ujima. Upo vizuri achana na mwenda zake Jenga hoja...
Back
Top Bottom