Sidhani kama UTRA SOUND ni hatari kwa mama mjazito,nadhani ndio ingekuwa msaada mkubwa kwa hali ya mgonjwa wako.Nadhani huyo mshauri hakuwa sahihi kabisa.
Papai na nanasi wanasema sio matunda mazuri kwa mama mjamzito. ndizi ni nzuri zaidi badala ya papai na inasaidia sana kupata choo kirahisi na kuondoa gasi.
Mjamzito akila japo ndizi mbivu mbili kwa siku pia anajiwekea kinga na magonjwa ya moyo na haswa pressure ambayo ni hatari kwake na mtoto.
hivi kiwanja cha ndege Dodoma kimeshakuwa na uwezo wa kupokea Ndege kubwa maana nilikuwa naona ni ndege za kukodi tu...hakuna ndege za abiria zinaenda Dom
wakati lulu ana mahusiano ya kimapenzi na kanumba ilikuwa siri kiasi kwamba ht mama kanumba hakujua ila baada ya lulu kutoka rumande ushoga ghafla ukaibuka kati ya lulu na huyo mama nilikuwa najiuliza wanazungumza nini mtu na mjukuu wake!!kitu km hicho nilikitegemea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.