Recent content by FADHILIEJ

  1. FADHILIEJ

    JamiiForums Tanzania Natafuta camera za siri kwa ajili ya ulinzi wa duka langu

    Asante sana,nitawatafuta bila shaka.
  2. FADHILIEJ

    JamiiForums Tanzania Natafuta camera za siri kwa ajili ya ulinzi wa duka langu

    Nimechukua namba takutafuta,ila kama ungeweza k Mkuu takutafuta,ila kama inawezekana kupata list ya products kwenye inbox yangu ningeshukuru sana mkuu.
  3. FADHILIEJ

    JamiiForums Tanzania Natafuta camera za siri kwa ajili ya ulinzi wa duka langu

    Nashukuru kwa taarifa mkuu, ninepata website yao au mawasiliano ningeshukuru sana.
  4. FADHILIEJ

    JamiiForums Tanzania Natafuta camera za siri kwa ajili ya ulinzi wa duka langu

    Wadau heshima kwenu, Nimekuwa nikihangaika jinsi ya kumonitor duka langu hasa wakati niko safarini na kuna mdau alinidokezea kuwa naweza kupata camera ndogo za siri zinazoweza kurecodi matukio yote wakati sipo, tafadhali mwenye taarifa zaidi naomba msaada, asanteni
  5. FADHILIEJ

    JamiiForums Tanzania Gari Toyota Noah inauzwa, milango ya mazungumzo ipo wazi

    Mkuu kitu kimetulia,japo kwa sasa siko vizuri ila wacha nichukue namba yako nadhani tutawasiliana. asante
  6. FADHILIEJ

    JamiiForums Tanzania Meya wa West Virginia ajiuzulu baada ya kufurahia andiko lililomfananisha mke wa Obama na Nyani

    Kwa kawaida Meya huwa anachaguliwa na ili apoteze umeya ni suala la au kura za kutokuwa na imani naye au Kufukuzwa uanachama hivyo kupoteza ubunge au Kushtakiwa na kupatikana na hatia/kufungwa SASA SUALA LA KUFUKUZWA HALIELEWEKI-Kafukuzwa kazi na nani? maana Huwa hawaajiriwi . Make it clear.
  7. FADHILIEJ

    JamiiForums Tanzania Kero ya Kelele Kutoka Makanisa ya Kilokole

    MBONA SPIKA ZA MISIKITINI HAUZIONGELEI au alfajiri na jioni wenzetu wanapoalikana tuwazuie?
  8. FADHILIEJ

    JamiiForums Tanzania Natafuta wholesalers wa bolt and nuts

    Asante sana mkuu,tafuatilia soon.
  9. FADHILIEJ

    JamiiForums Tanzania Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Wasiliana na Chama cha wakulima wa uyoga dar utapata mkuu.
  10. FADHILIEJ

    JamiiForums Tanzania Natafuta wholesalers wa bolt and nuts

    Hapo ndo penye tatizo mkuu,na unaweza kujiingiza kichwajichwa ukakutana na TRA maana hawa jamaa hata risiti hawatoagi.
  11. FADHILIEJ

    JamiiForums Tanzania Natafuta wholesalers wa bolt and nuts

    Wadau mimi ni muuzaji wa hivi vitu kwa rejareja lakini changamoto niliyonayo ni upatikanaji wake hasa kwa bei za jumla kwani wengi wanaojiita wholesalers ni middleman tuu, Tafadhali anayewajua wauzaji wa jumla wa uhakika anisaidie. ASANTENI SANA.
  12. FADHILIEJ

    JamiiForums Tanzania Msaada: Upatikanaji wa mbegu za uyoga hasa Oyster na soko lake Mwanza

    Wasiliana na Chama cha wakulima wa uyoga Dar es salaam utapata bila shaka,
  13. FADHILIEJ

    JamiiForums Tanzania Vitu vitamu zaidi duniani ni vitatu

    You relaxxxxxxxxxxx
  14. FADHILIEJ

    JamiiForums Tanzania Vitu vitamu zaidi duniani ni vitatu

    KUJA KUJAMBAAAAAAA VIPI?
  15. FADHILIEJ

    JamiiForums Tanzania Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Nashukuru sana kwa ushauri japo nilitoka nje ya mji kwa siku kadhaa sikuweza kushukuru kwa wakati, Kwa sasahivi ninachoweza kufanya ni kuukausha tuu lakini zaidi ya hapo Value addition ingine shule ndo tatizo -Je kuna mwenye msaada wa elimu hiyo? Asanteni
Back
Top Bottom