Mkuu kibwengo.
Nilitegemea ungepiga simu kuweka hoja katika uzito zaidi.
Btw, 4mil nakupa Raum namba C
Brevis inashuka lakin sio kwa beio hio boss.
Karibu!
Cc 990.
Engine iko vizuri.
AC inafanya kazi.
Inafanya uber mpaka sasa.
Imetunzwa vizuri tu haina tatizo
Njoo na 5.6mil uchukue chombo
Mbezi Dar es salaam: 0744033555