Recent content by EvanMakundi

  1. E

    Oracle 10g edition

    Mkuu Asante sana, hii ni habari Njema. Mpaka sasa sijapata mtu yeyote alienayo hapa Dar. Nimeku-PM
  2. E

    Oracle 10g edition

    Hi Guys I am looking someone with Oracle Database 10g R2 Installer for Windows. This version of Database is currently no longer available from Oracle Website for Download, unfortunately the CD i have got damaged and can not be used for Installation, and I do not want to use any latest version...
  3. E

    Zitto aisumbua chadema; Chama chafikiri namna ya kumdhibiti?

    Hapa pa kumvua uongozi pana ugumu, Sidhani kama atakubali kuvuliwa uongozi na kuendelea kukaa katika chama bila kuleta madhara yoyote katika chama. Nionavyo aweza kuendelea kubaki chamani ili asipoteze ubunge wake lakini akawa mwiba wa kukibomoa chama ili ajipatie umaarufu. Nionavyo mimi huyu...
  4. E

    Zitto aisumbua chadema; Chama chafikiri namna ya kumdhibiti?

    Sidhani kama CHADEMA watamfukuza zitto chamani kwa sababu kufanya hivyo kutakidhoofisha na kukiyumbisha chama kutokana na ushawishi alionao zito. Kumbuka kuwa kumekuwa na upepo unaodai u-kaskazini katika chadema. Kitendo cha kumfukuza uanachama zito kwa sababu yoyote ile (Unless it is a very...
  5. E

    Dating Questions for GIRLS

    Najibu kwa niaba ya mshichana ambae niko nae hapa (Yeye hajajiandikisha JF) The answers are Simple Kikojozi sitaki haina ubishi wala mjadala. Alieachana mara 3, Inabidi uchuguzi zaidi ufanyike kwanini anakua aacha-acha Mtu aliefulia - inategemea kama ana prospects za kutoka katika huo umaskini...
  6. E

    Tanzania gives Zimbabwe US$200,000

    Tanzania Bwana...! Bado tu hatujaacha wema wa mshumaa? ... Kuwamulikia wengine huku wenyewe tunateketea? Hivi kweli nchi hii na umaskini ilionao inathibutu kutoa msaada kwa nchi nyingine? Inashangaza kweli kweli.
  7. E

    Macho inanisumbua...

    Pole sana rafili. Tafuta 20,000 nenda CCBRT First Track kama umezidiwa sana. Hii itakuwezesha kumwona daktari bila kusubiri foleni ndefu
  8. E

    Hakuna husband material...

    I was talking to an Indian Friend of mine about Marriage, I asked him how comes many Indian Marriages lasts longer than most western marriages what is the secret behind. He gave me a very strange answer that I never thought of. He said the problems with western marriages are that many are...
  9. E

    Netanyahu is Right

    For your information no nation in the planet earth is capable of eliminating the Jewish nation of Israel. They will try but they will end up being defeated. Long live Israel, Long Live the Jewish people of israel...
  10. E

    Bei mpya za Internet Bandwidth za TTCL, 45,000=/ kwa mwezi

    Habari nilizonazo ni kwamba WIA tayari wako connected kwenye SEACOM. Vilevile Habari ambazo sijazithibitisha zinasema kuwa Parent Company ya WIA iliyoko South Africa wanamiliki some shares in SEACOM (Sijui % ngapi), kitu kinachowapa upper hand kwenye maswala ya Internet
  11. E

    Five universities blacklisted in Uganda

    Mkuu lakini hiki chuo unacho recommend hakionekani kwenye Ranking yoyote ya Universities za Africa. Sijui umechukua kigezo gani kusema kua nichuo bora.
  12. E

    Five universities blacklisted in Uganda

    For those planning to study in Uganda....Please be carefully. This article is from Monitor newspaper in Uganda. The National Council for Higher Education (NCHE) has blacklisted five private universities saying they do not meet the minimum qualifications. According the Deputy Executive...
  13. E

    Wizi Imalaseko

    Wadau, Nimepokea habari hizi hivi punde kua Imalaseko Supermarket Pamba House kumetokea wizi au Ujambazi vile, Sijui kama kuna mwenye taarifa Kamili atujulishe kwa kutupa data kamili.
Back
Top Bottom