Recent content by etkahigwa

 1. etkahigwa

  Usiombe kukutana na mwenyeji kijana ukiwa safari mkoa mwingine

  Siwezi shangaa, maana kuna ndugu yangu alikuwa kicheche sana kiasi kwamba anaweza kulala na madem wa3 wakati tofauti kwa siku, na mwezi mzima anaweza asirudie mademu hao...na hapitishi siku bila ya kungonoka.
 2. etkahigwa

  Nakushauri nunua Alphard utaona matunda yake

  Kwasie wenye v8 ngoja tukuangalie na kukusikitikia tu maana hatupo tayari kuyashushia thamani magari yetu.
 3. etkahigwa

  Iran yataka mazungumzo na Marekani

  Hatari sana!
 4. etkahigwa

  Ongea yangu inawakwaza watu, wanahisi kama nawafokea nifanyaje jamani

  Kinachokutokea ndicho kinachonitokea, ila najikubali hivyohivyo.
 5. etkahigwa

  Waungwana mnaotumia tigo menu yao mpya mnaielewa kweli

  Duh! Nimeshangaa kweli yaani...naona wameondoa ofa maalum
 6. etkahigwa

  Natafuta fundi wa generators kubwa

  Karibu mkuu. Vipi umefanikiwa?
 7. etkahigwa

  Kitu gani kimeikumba WhatsApp?

  FRANC THE GREAT, Nilishindwa kutuma picha, ila mida hii ipo ok.
 8. etkahigwa

  Kwa haya, Rais Magufuli hatufai kama ni wenye kutafakari

  Inakuwaje humu JF wanaopinga serikali hii ni asilimia kubwa, ila nikiingia FB, karibia kila mtu anaiunga mkono. Anyway, mtoa mada naunga mkono hoja. Asante.
 9. etkahigwa

  Umri wangu ni 40-45 Nakaa nyumba ya kupanga watoto wanne, nyumba yangu haiishi, mke amenistukia, nataka kumlamba card nyekundu japo hajui

  Pole sana, ila kwakuwa unamuona hafai kwako, tupo watu tunahitaji mke wa dizaini hiyo, na inaonesha huyo mke anamalengo makubwa sana. Asante
 10. etkahigwa

  Ni kweli kubadilisha Windows kunaondoa Virus?

  Ni kweli japo sio kila ikiwa infected na virus, ni lazima ushushe windows, kuna antivirus nyingi nzuri kwaajili ya kuondoa virus kwenye pc.
 11. etkahigwa

  Kero ya usafiri wa mwendokasi

  Na ishu nyingine ni kuhusiana na mifuniko ya juu kwenye mwendokasi huwa hazifunguliwi ili kupunguza hali ya joto ndani kiasi kwamba abiria ni wengi kupita maelezo na joto linakuwa jingi sana.
 12. etkahigwa

  Kifo cha mwanamama (Marie Fredriksson) wa Roxette

  R.I.P Roxette...nazipenda sana nyimbo zake kama "It must have been love" na nyingine babkubwa ni "Listen to your heart"
 13. etkahigwa

  Usijaribu kuchumbia, kuoa nyumba ya washirikina

  Mshana Jr, Imebidi nirudie kusoma, maana hili jambo naona lina ukweli ndani yake.
 14. etkahigwa

  Dar: Baada ya kudaiwa kuwepo kwa Ugonjwa wa mlipuko wenye dalili kama za Malaria, Serikali yakanusha kuwepo kwa mlipuko wa Ugonjwa huo

  Dah! Ninakama wiki tangia niugue hivi viugonjwa ambavyo vilichukua zaidi ya wiki mbili.
Top