Recent content by Ernie

  1. Ernie

    Ijue vizuri kampuni ya utafiti ya ipsos-synovate

    Wana Jamvi poleni kwa majukumu ya siku, nimeona maoni yenu hapo juu, mimi nadhani nawafahamu hawa watu labda tukisema kuwa wana cook data au wanagandamiza wa-Tanzania mnakuwa mnamaanisha nini au ni tafiti ipi walitoa ikawa na uongo ndani yake? nahoji
  2. Ernie

    Top ten wonderful names from Tanzania

    Ernest Sethiel Sifuel Hananasif Primary school 1983
  3. Ernie

    Pendekezo: Sam Mahela awe mfanyakazi bora 2012/2013

    King Kong Mi nakubaliana na wewe kabisa aise huyu jamaa anafanya kazi sana
  4. Ernie

    Vuguvugu la UDINI: Biblia takatifu yakojolewa huko Tanga

    I Pad 3, umekata mzizi wa fitna, nilikuwa na hasira mpaka nikacheka......!Bwana Yesu asifiwe sana, nawapenda sana wakristo, mbona reasoning yenu ni kubwa sana? mmetishaaaaaaaa, wambieni wanyee kabisa
  5. Ernie

    Malizia hii.......!

    Ujinga ni...........! Kupenga makamasi kwa mkono, kujipangusia kwenye suruali kisha kusalimia mtu bila kunawa mikono
  6. Ernie

    Maandishi kwenye t-shirt

    Nilipokuwa Secondary Lombeta Moshi kuna jamaa alikuwa anaitwa Ramadhani Mdaile alikuwa na T-Shirt imeandikwa "Lick me till I scream"
  7. Ernie

    A case that make you go ouch!!

    Nimetamani kuchukua haka ka-usemi alafu nitumie watu kadhaa, nikahisi nikifika nyumbani ntakula nakoz za kustosha
  8. Ernie

    Huyu nitamwita shemeji!!!!!!!!!!!!!!!!

    Hizo ni presha zenu tu mbona mbunye haina makombo! wanaendelea kuwa mashemeji kwani ubaya uko wapi? shida wakiendelea na mchakato ndio inakuwa soo
  9. Ernie

    Haa.....habari ndo hiyo

    Umejaribu! Good translation
  10. Ernie

    Dereva Tax & Mwanamke

    Marudio mkuu! lete vitu vipya!
  11. Ernie

    kichaga kigumu kuandika

    Ngikundi alyika! Ngastuka
  12. Ernie

    Re: Mara 100

    Mara mia kupiga puchu kuliko kusaka mademu, kugharamika na kupata ngoma
  13. Ernie

    I am having fun!

    Mum and dad were having s*x and their child came and said: Dad what are you doing ? Dad: I'm having fun. Child: Can I join ?
  14. Ernie

    Msemo wa Leo....

    Kudua na kugosha chedi nini?
Back
Top Bottom