Kwanza nimeshangaa mtu kutamani kuwa mzanzibar kwa sababu za kuoa,siasa n.k
Unakumbuka Africans wakiitwa NIGA kwa ubaguzi ?
Sasa Zanzibar pia unaitwa CHOGO kwa ubaguzi.
Kama unatafuta maisha na sio mvivu nenda Zanzibar jaribu kule utapata pesa nyingi tu.
Lakini jiandae kisaikolojia usije pata...
Waungwana mambo vipi?
Hapo chini nimepata ramani mtandaoni tu na haina vipimo sahihi.
Naomba msaada kwa uzoefu wenu katika ujenzi moja wapo kati ya hizi ramani zinaweza kutosha kwenye kiwanja cha SQM 280?
Kama una ramani ya 3 bedroom na gharama itakua msaada pia.
ENEO LA UJENZI NI MWANZA-...
Ndio,Watu wanakaa dar na wanafanya kazi Zanzibar .
1. Wengi ni wenye kipato kizuri jumatatu hadi ijumaa yuko kwenye biashara zake na jumamosi na jumapili yuko dar na familia
Nauli ya dar to zbr mtu wa njaa njaa hawezi kumudu safari za mara kwa mara
Mambo vipi JF .
Ni muda sasa nimekuwa nikitumia free Microsoft word office ku type kazi, CV, barua n.k.
Sasa siku hizi nikijaribu haikubali ku type wala ku edit chochote. Naomba msaada mnatumia nini kama mbadala wa free Microsoft Office?
Note: nimetumia Libre office lakini sio nzuri sana...
Mambo vipi wana JF?
Kwa sasa kuna trending ya kuongeza followers hasa Instagram,
1. Hawa followers ni kama ulikuwa nao 100 unaweza kulipa mtu na unapata 10k followers,
Kumbuka hapa sio zile app za playstore ambazo unapata followers watano, n.k
Hii ndani ya 24 hours mtu anapata followers hata...
Kama mtu hajui jambo ni bora kutojibu.
1. Kwanza kabisa Zanzibar kuna maeneo mawili ambayo ni Mjini na Shamba (vijijini)
Sasa hapo mjini Hotel zipo lkn sio kwa ajili ya watu waliokuja ku relax sana.
Hotel zilizoko shamba zina Beach nzuri na ni expensive kidogo,
Lakini hata kwa dollar 100 per...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.