Recent content by Epifania

  1. E

    Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

    Mh, kweli naishiwa maneno. Hivi hao viongozi wetu wamelogwa na nani? Ole wetu Tanzania
  2. E

    Dr Slaa hajapona mkono?

    Jamani hebu kama kuna mweny taarifa za uhakika kuhusu maendeleo ya huo mkono atujuze, mimi pia nilishtushwa sana jana. Mungu amlinde na kumbariki
  3. E

    How to manage My monthly salary?

    Nadhani hauna tabia ya kujitengenezea plan ya mwezi. Unapaswa kabla hujapokea huo mshahara bila kujali ni kiasi gani ujaribu kukaa chini, kama umeoa/olewa upange na mwenzio, ni gharama gani ambazo ni za lazima, mzitambue na mziandike mf. Bili za maji, umeme, rent kama mnapanga nyumba, bili za...
  4. E

    Simuelewi jirani yangu

    Ama kweli ukistaajabu ya Musa........ Huyo mwanamke ni kiboko ya huyo mharibifu, inawezekana anampa vitisha kwakuwa anajua kilichowapata wenzie waliozaa hao watoto 5. Wewe rafiki yake una nafasi ya kumshauri, na tana anapaswa kumshukuru huyo mama kama ameamua kuwa na msimamo wa kufunga ndoa...
  5. E

    Hoja ya Shossi juu ya sh. 500/- ya babu

    Hivi kuna aliyewahi kudhibitisha iwapo ni kweli Mwingira wa Efatha aliota ndoto kuagizwa akaanzishe ile huduma yake? Nadhani ni bora kukaa kimya badala ya kupinga jambo usilolielewa.
  6. E

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    hizo arguments haziingii akilini mwangu, Babu alipata ufunuo wa kiMUNGU na ametii. Wagonjwa wanapona na wanaelekezwa kwenda kutoa sadaka wanapoabudu. Nini mnataka zaidi jamani!
  7. E

    45% ya Wanawake wenye Ajira wametoa Rushwa ya Ngono!

    Binafsi naona taarifa hii ina mapungufu makubwa. Haijaonesha details kuhusu sample iliyotumika ktk research,tho ametaja Afrika kusini na takwimu za ubakaji.pia inawezekana mwandishi alitaka kuandika kwa namna ya kuuza tu, which is right n wrong in the other hand. 45% iliyoandikwa inatoka katika...
  8. E

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    nimeambiwa ukipona unapaswa kutoa sadaka pale unapoabudu ie. Umrudie Mungu wako umjuae.
  9. E

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Jenga pekeyako, unless kama hiyo nyumba iko kwenye posharea na huwezi pata land. Katija kujenga ni muhimu ukakaa na engineer akakupa estmate ya materials yinayohitajika, alafu ukaweka deposit kwenye hardware utakapokuwa ukinunua . Gharama za ujenzi mara nyingi ni one third ya total cost.
  10. E

    Kikwete: Hata Nyerere alishindwa ingawa tunamsifu sana

    Amepotoka huyu Raisi, laiti angeweza kusoma alama za nyakati asingerudi kugombea.awamu hii na watu tungemuona wa Maana. Sasa amekosa la kusema anatusi hata waliomfikisha hapo alipo. Anafanya mzaha katika mambo ambayo ni nyeti na hana heshima kwa walio mtangulia. . Ama kweli mwisho wa CCM umefika
  11. E

    Nyerere! Huyu mzee kiboko!

    Asante sana kwa maelezo haya, hakuna binadamu mkamilifu, sote tuna mapungufu. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
  12. E

    Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

    Better be careful with ur words. Sidhani kama walio vitani walitamani au walihitaji kutumia stock ya silaha zao.
  13. E

    CUF Waandamana Kuipinga DOWANS

    I think ur right abt the so called Nancy. Nimekuwa nafuatilia post zake, ni kama mtu ambaye anakurupuka tu. Sidhani hata kama anaujua uKristo
  14. E

    Serikali yataka kumaliza tofauti za kisiasa Arusha kwa mazungumzo

    Should I call it a political talk! People are dead, people are suffering!!!!!! Hawakujua madhara ya kutumia nguvu kwa raia wasiokuwa na silaha? Nawashauri wajiuzulu kwa kushindwa kutumia madaraka yao kwa hekima.
  15. E

    Kauli ya Zitto kuhusu yaliyotokea Arusha

    We mleta mada ndiye Zito? Ulishiriki maandamano na wenzio?
Back
Top Bottom