Nahitaji geotech technician ambaye ameisha fanya kazi za maabara na site.
Woman are given high priority.
Contact: Eng. David via whatsapp through 0752626218 please dont call.
Ni asubuhi moja, huku kukiwa na manyunyu ukiwa unatoa morning speech katika shule ya mazengo "kwa sasa chuo st.john" ukiwa kama hp.
Speech ilijaa uzalendo sio tu na shule bali taifa kwa ujumla, nikiwa kama kijana wa kidato cha pili haikuwa rahisi kuelewa maneno kama patriotism, desire...
Gharama za maisha zinazidi kupanda kila kukicha huku tukisadikishwa kwamba uchumi unapanda pia kwa 7%.
Ndugu zangu watanzania ni muda sasa wa kufanya maamuzi magumu hasa katika matumizi ya kila siku. Leo najikita katika masiliano na hasa kipindi hiki cha sikukuu.
TIGO kwa 595/= unapata sms...
UPDATES!
Serikali kupitia wizara husika ilitakiwa kutengeneza barabara za pembeni "service road" kabla ya maradi.
Mradi huo unaogharimiwa na Benki ya Dunia kwa kiasi cha Sh. bilioni 240.879 ikiwa ni pamoja na fidia kwa mali za wananchi zitakazovunjwa katika kutekeleza mradi huo unajengwa na...
i beg to differ, i hope you went on the same schools as me where books like kusadikika and mfalme juha were taught. Both writers uses figurative language thats include the guy with donkey example.
don't jst comment read, understand, think, reason and later comment...we will get that far but...
MAADA NZURI,
Ila tubadilishe mtizamo badala ya kutuonyesha tuliyo yaona basi tupe mbinu mbadala mfano ww umejiajiri na nini, ulianzaje, fursa ziko wapi zaidi?
Naheshimu mawazo yako ila haujazingatia sera za kila chama,
kwa katiba ya sasa labda waweke kipengele cha raisi akiwa chama tawala basi waziri mkuu awe chama cha pili kwa wingi wa kura.
Ni kweli usiopingika ila jambo la msingi la kujiuliza kipi bora tukampa mtu ambae na weledi na taaluma ya kazi anayo isimamia au mwenye kipaji cha uongozi.
Kumwajibisha mtu mwenye taaluma yake ni rahisi kuliko asiyenayo....ndiko hasa mlengo wa hoja yangu ulipo kuwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.