Recent content by emoshi

 1. E

  Asali mbichi kutoka Tabora

  Ndugu zangu wadau wa JF natafuta mtu ambae anahitaji asali mbichi kutoka Tabora. Mimi ninauwezo wa kumletea kuanzia dumu za lita 20 kuanzia tano na kuendelea na ningefurahi sana kama uyo mtu mwenye uhitaji angekuwa anapatikana hasa hasa mikoa ya Kilimanjaro au Arusha. Kama una uhitaji ni pm...
 2. E

  ASALI MBICHI KUTOKA TABORA

  Ndugu zangu wadau wa JF natafuta mtu ambae anahitaji asali mbichi kutoka Tabora. Mimi ninauwezo wa kumletea kuanzia dumu tano na kuendelea na ningefurahi sana kama uyo mtu mwenye uhitaji angekuwa anapatikana hasa hasa mikoa ya Kilimanjaro au Arusha. Kama una uhitaji ni pm tuongee bei na mambo...
 3. E

  Legal wife

  Jamani wana jamiiforum wenzangu nitaipataje hii series ya Legal wife either kwenye CD au kwenye flash. Yaani naihitaji sanaa
 4. E

  Msaada wa kuaply TCU

  Jamani wadau naombeni mnisaidie maana kila nikijaza details zangu wakati na-apply tcu mwishoni ninapobofya kwenye register inaniambia " mobile number2 must contain a number' sasa sielewi ni kwanini maana nimejaribu mara nyingi tu, na hili tatizo liko kwangu tu au? Thankx
 5. E

  Dawa ya VUMTREX SYRUP 40mg/5ml

  Wana Jf hii dawa ya minyoo ni nzuri sana au maana kuna mtu kaniambia nitumie sasa imebidi niombe ushauri kwenu kwa wanaoijua vizuri. Thankx
 6. E

  Wataalam wa simu msaada plz.

  Yani niki downlod application yoyote haifunguki kabisa kama vle hamna conection na 4n kabisa
 7. E

  Wataalam wa simu msaada plz.

  Model yake ni Nokia 7610 SuparNova
 8. E

  Wataalam wa simu msaada plz.

  Eti hii imekaaje? Juzi nime flush 4n yangu sasa hvi nikidownlod application yeyote kama opera mini haifanyi kazi kabisa. Kwa mwenye ujuzi anisaidie plz. Thankx
 9. E

  Rithiwan ndani ya super mix EA RADIO mahojiano

  Jana wamekata umeme mpaka leo
 10. E

  Kwa anae hitaji kuchange chuo/coz alyopangiwa na TCU ani PM

  Aisee mimi nataka kuhamia UDOM sasa hivi je itawezekana?
 11. E

  Msaada wenu tafadhali wana JF

  naombeni kujua kama mtu alifanya application ya chuo kupitia tcu na akachaguliwa na mkopo akapata kidogo, lakini kwa sababu wazazi wake hawapendi hicho chuo alichochaguliwa na pia hawana hela kabisa za kujazia kwenye mkopo ameanua kuacha mpaka mwakani, je anaweza kufanya application tena mwaka...
 12. E

  Chuo cha KIU

  Mbona mnanitisha jamani, lakini hata hivyo fee yao usipime! na nilikuwa nataka tu kujua ubora wa elimu yake coz kuna mtu kachaguliwa hapo kusoma IT
 13. E

  Chuo cha KIU

  Ndugu zangu wana JF naombeni kwa yeyote anayekifahamu hiki chuo cha Kampala International (KIU) vizuri anijuze jinsi tu kilivyo kuhusu masuala ya elimu na mambo mengine Asanteni sana.
 14. E

  Kwa wanaume wenye ndevu

  mmh! mbona wewe mbaguzi hivyo kuna wanawake wana ndevu pia kwa hiyo naona hii inawahusu pia
Top Bottom