Recent content by Emmanuel Robinson

  1. Emmanuel Robinson

    Msaada tafadhali kuhusu afya ya mke wangu

    Noted 😀😀😀😀
  2. Emmanuel Robinson

    Kwanini kuku anavuka barabara?

    Kuku wa wapi kwanza buguruni au
  3. Emmanuel Robinson

    Msaada tafadhali kuhusu afya ya mke wangu

    Ulifanyaje akapona inaweza saidia na wengine au ilikuwa kawaida kama walivyosema madaktari?
  4. Emmanuel Robinson

    Watanzania waliopata umaarufu wa ghafla mitandaoni na kisha kupotea

    Ulikuwa mtu huwezi kulala bila kumsoma kigogo
  5. Emmanuel Robinson

    Mvua za mwaka huu hatutazisahau.

    Yes mwaka 1997 ilikuwa balaa
  6. Emmanuel Robinson

    Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na ubunifu 2024

    Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia inapenda kuwataarifu kuwa dirisha la MAKISATU 2024 liko wazi. Tunawakaribisha wabunifu wote kuwasilisha maombi yao kupitia link hapo chini. https://makisatu.costech.or.tz/costech/makisatu Mwisho wa kutuma...
  7. Emmanuel Robinson

    Yanga mnaolia sana malengo yenu ilikua makundi robo ni kama bonasi

    Yah mama yangu yupo magogoni pale una lingine?
  8. Emmanuel Robinson

    Mnapojadili kuwa Yanga kaonewa mjadili pia ubovu wa Yanga kwenye upigaji wa penati

    Mimi naona jumatatu mashabiki wa yanga waandamane kwenda kwa mama kama kawaida yao ili apate kulitazama na hili haiwezekani wananchi wanyonge wananyang'anywa haki yao kwa nguvu.
  9. Emmanuel Robinson

    Kama uamuzi wa refa jana kati ya Young African na Mamelod ungefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia nguvu ya umma ambayo hakuna askari angeidhibiti

    Mimi naona jumatatu mashabiki wa yanga waandamane kwenda kwa mama kama kawaida yao ili apate kulitazama na hili haiwezekani wananchi wanyonge wananyang'anywa haki yao kwa nguvu.
  10. Emmanuel Robinson

    Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

    Mimi naona jumatatu mashabiki wa yanga waandamane kwenda kwa mama kama kawaida yao ili apate kulitazama na hili haiwezekani wananchi wanyonge wananyang'anywa haki yao kwa nguvu.
  11. Emmanuel Robinson

    Furaha ya Nchi hii imeshikiliwa na Mpira. Leo nchi haina furaha baada ya kufanyiwa uonezi Timu ya Wananchi

    Mimi naona jumatatu mashabiki wa yanga waandamane kwenda kwa mama kama kawaida yao ili apate kulitazama na hili haiwezekani wananchi wanyonge wananyang'anywa haki yao kwa nguvu.
  12. Emmanuel Robinson

    Simba SC wako kimya kana kwamba hawakucheza jana na Al Ahly

    Mimi naona jumatatu mashabiki wa yanga waandamane kwenda kwa mama kama kawaida yao ili apate kulitazama na hili haiwezekani wananchi wanyonge wananyang'anywa haki yao kwa nguvu.
Back
Top Bottom