Wana JF idara husika zimekufa siku nyingi sna, nyimbo nyingi za sasa hazina maadili kbs, mbali na kuchapiwa siri ya ndani, je mnasemaje kuhusu video ya nyimbo ya FA na AY cheza bila kukunja godi, huyu mdada amevaa boxa alafu design yake imetengeneza bonde kati ya ---- na ----, huwezi angalia na...