Chaguzi zimekwisha sasa, kazi kubwa ambayo watu wengi wanaifanya kwa sasa ni kufanya tathimini ya kilichotokea wakati wa uchaguzi, wengine bado wanamaumivu ya kushindwa kupata fursa ya kuonyesha uwezo na umahiri wao wa kukiongoza chama kwa nafasi walizoomba huku wengine wakiwa na shangwe kubwa...
Kila ardhi anayokanyaga lazima watambue uwepo wake.
Anamwonekano Fulani wa kimatata sana.
Wakati mwingine huwezi hata kumdhania.
Alipokuwa akisoma chuo kikuu mwaka wa kwanza aliteuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya burudani na michezo, labda kwa sababu alipenda sana kuimba na kucheza netball...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.