Recent content by Embasi

  1. Embasi

    Rais wetu amelewa madaraka, amesahau kuwa yeye ni Rais wa Watanzania

    HAPANA BILA KUSEMA CHOCHOTE KITU NAHISI SIITENDEI HAKI NAFSI YANGU Kwanza kabisa nianze kwa masikitiko yangu binafsi na wale wote walioguswa na Hotuba ya Rais leo pale Ubungo; Pamoja na hotuba za baadhi ya viongozi naomba tuchambue japo kidogo...
  2. Embasi

    Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    Ama kwel Makonda ni Remote tu Tv ya Kitambi Ni Sizonje huku kumkingia kifua tena kwa maneno ya dharau si japo la kawaida kwa mustakabali wa taifa letu
  3. Embasi

    Waziri Nape: Kitendo kilichofanywa na RC Makonda kimenajisi Tasnia ya Habari. Kamati yaundwa...

    Tunasubiri haki kutendeka na si kuunda tume ya watu wakat hili lipo Wazi muda wa kuunda tume si sasa bali tunataka action kwa huyu mtu haraka sanaa tumeshachonga na Ngonyera za bashite
  4. Embasi

    Rais Magufuli anaenda Ubungo kwa kutumia usafiri wa basi la Mwendokasi

    Si alishawahi kuliendesha Kimara wakati anakata utepe wa Mwendokasi so ana uzoefu huo
  5. Embasi

    Rais Magufuli anaenda Ubungo kwa kutumia usafiri wa basi la Mwendokasi

    Haya maigizo ya kuwafumba watu macho kwa kupanda mwendokasi bado hayajaisha tu; Kwel nimeamin hii awamu hii ni ya mwendo kasi pila kujali kona
  6. Embasi

    Naungana na Watanzania Wenzangu Kukemea kitendo cha kihuni kilichofanywa na Paul Makonda pale Clouds

    Mkuu Troll JF hongera kwa kukubali madhaifu yote ya Rc huyu ni kwel umekuwa unamtetea kila uchwao hapa jukwaan tena kwa kutukebehi sisi tunaohoji juu ya ukimya wake wa Vyeti na sasa uvamizi huu wa kituoa cha habari clouds; Leo ndo umejua kwamba Sikio la kufa halisikii dawa.
  7. Embasi

    Uzinduzi FlyOver Ubungo - Machi 20, 2017: Je, Hotuba ya Rais Magufuli itamtumbua RC Makonda?

    Ila kwa sasa nakushauri usimamia kwanza Hoja yako ya Mh Rais kuweka jiwe la msingi hiyo Manake ndo mlipojifichia nyinyi Mnaotetea uovu wa Rc Wa Dar relax wala usiwe na msongo wa mawazo manake Huyo bashite kashalikorogo bado kulinywa tu
  8. Embasi

    Uzinduzi FlyOver Ubungo - Machi 20, 2017: Je, Hotuba ya Rais Magufuli itamtumbua RC Makonda?

    Mkuu usijidai humjui bashite ila nakushauri Ipo siku utamjua kuwa Jina lake ni Daudi Bashite na Si Paul Makonda wa sasa ila bado siku chache utamsahau na utaamin kwamba ni Bashite kwel
  9. Embasi

    Uzinduzi FlyOver Ubungo - Machi 20, 2017: Je, Hotuba ya Rais Magufuli itamtumbua RC Makonda?

    Typing error ni mwezi wa tatu na siku ya uvamizi kama nilivyosema hapo juu ni ijumaa 17/03 Mkuu tusubiri mkuu atatoka na lipi juu ya hili
  10. Embasi

    Uzinduzi FlyOver Ubungo - Machi 20, 2017: Je, Hotuba ya Rais Magufuli itamtumbua RC Makonda?

    Eti anatafuta kiki baada ya Baba kusema anapenda shilawadu; sasa kiki aliyotafuta Kwanza Bishop Gwajima itamtokea puani.. yetu macho
  11. Embasi

    Uzinduzi FlyOver Ubungo - Machi 20, 2017: Je, Hotuba ya Rais Magufuli itamtumbua RC Makonda?

    Wakuu kama mjuavyo Habari inayotawala Kwa sasa ni kuhusu Mkuu wa mkoa wa Dsm kuvamia Kituo cha Tv na Radio Clouds Siku ya ijumaa Usiku; Yamesemwa mengi na Picha ya jinsi tukio zima zimeonekana Na ndipo hapo pasi na shaka kuwa Uongo Hujitenga; Sasa Kesho ni Siku ambayo Wengi tutasubiri...
  12. Embasi

    Wataalam wa Afya ya akili chunguzeni huyu mtu tafadhali.

    Mkuu umesomeka vizur kazi kwake.... ila asijestukia anaitwa central badala ya kufanya kazi yake... Bashite bashite sioni pa kutokea safar hii
  13. Embasi

    Uzinduzi FlyOver Ubungo - Machi 20, 2017: Je, Hotuba ya Rais Magufuli itamtumbua RC Makonda?

    Kusimamia unachokiamin ila ipo siku mkuu Cocochanel utamkana Bashite wako kabla jua halijazama..... Bashite oyeeee[emoji3][emoji3][emoji3]
Back
Top Bottom