Recent content by Eja One

  1. E

    2021 unaenda kuwa mwaka mmoja mgumu sana kwa Watanzania, usipojipanga utakupanga

    Hivi huwa mnatoa wapi hizi guts za kuwaita watu hasa Watanzania "wapumbavu".?? Ni kwa hivyo vi paragraph viwili vya kuunga unga visivyoeleweka ama? Nyie ndio mnafanya kila siku watu wanajadili kubadilisha Mitaala ya elimu, maana inaonekana elimu haijatusaidia bado.
  2. E

    2021 unaenda kuwa mwaka mmoja mgumu sana kwa Watanzania, usipojipanga utakupanga

    Mimi hapa Napendezwa na utawala huu, Na pia sina uhakika na udhalimu unaouzungumzia unless uniwekee details za kuaminika hapa apart from those empty accusations filled with anger. Japo si support hata kidogo sula la watu kupotea abruptly, Nashawishika kuamini kama kweli kuna mkono wa serikali...
  3. E

    2021 unaenda kuwa mwaka mmoja mgumu sana kwa Watanzania, usipojipanga utakupanga

    Nimejikuta Nimecheka hapo ulipoandika " Dunia ya wastaarabu" aka "Civilised" . Hili neno wakoloni walitumia sana hili. Kwamba walikuja kuleta ustaarabu "civilization" , kwamba Africa before Colonialism was not Civilized, it had nothing of its own.
  4. E

    Ripoti ya CAG 2017/2018: Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Songwe uligubikwa na ufisadi

    Dah! Bora hata wewe umegundua kuwa hiyo report ni ukaguzi wa 2013-2014. Vichwa panzi humu wamepita nayo hivyo hivyo na micomment ya kujiamini hatari.
  5. E

    Gari la CHADEMA lililotajwa na CAG linatumiwa na Dkt. Mashinji

    Sasa kama Milioni 147 tu mnazifanya hamna Je tukiwapa access ya bilioni 147 mtatufanya nini? MWIZI NI MWIZI TU bila kujali ameiba simu au Flat screen.
  6. E

    Siku Mwigulu atakapoongoka na kutubu

    Tanzania huwa tunamove na matukio..kumbukumbu kwetu si hoja. Ngoja Mtoa post aje.
  7. E

    Mshituko: Ndege yetu Boeing 787-8 Dreamliner imegongwa, ipo matengenezo

    Nilipoanza kusoma nikaona " Mbona kama Post inamuelekeo waa......." Nilipofika mwisho wa post ndio nikaconfirm kwamba " Aaargh ni kweli banaaa, Ni watu wa Chama chetu kileeee"
  8. E

    Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

    SIKU HIZI WAO NI WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU NA DEMON-KRASIA
  9. E

    Rais Magufuli na kikokotoo: Bingwa wa kutengeneza matukio na kujitokeza baadaye kama mkombozi

    Hizi Post nilizitegemea sana kutoka kwa Wenye Njaa walioshika makaratasi Yameandikwa "DEGREE / SHAHADA".
  10. E

    Vyama vya upinzani katika ubora wa ku-retire imprest kwa mabeberu

    Nikumbushe siku uliyomwambia Baba yako " Wee bwege nipe hela nikalipe ada shule".
  11. E

    Nakataa kabisa, hali sivyo kama inavyodaiwa

    Doooh! Haya bana
  12. E

    Vyama vya upinzani katika ubora wa ku-retire imprest kwa mabeberu

    Sometimes, it is not about What U Say...It is about How You say it.
  13. E

    Bahari Beach, Dar: Yaliyojiri kwenye mkutano wa vyama 15 vya Siasa kupinga Muswada wa vyama vya Siasa

    VP KUHUSU KANUNI MPYA ZA KUKOKOTOA MAFAO??? Doesn't worth a panel like that for a discussion.
  14. E

    Nakataa kabisa, hali sivyo kama inavyodaiwa

    Nakuhakikishia UNAZO SABABU BILIONI MOJA za kutoa kwa KUFELI kwako. Ila mark my words wenzio wasiotafuta sababu wanazidi kutoboa na kila siku wanapata hela na kufanya maendeleo, Mfano Mbwana Samatta,Dogo janja, Diamond na wengi sana ambao hawamtafuti wa kumpa lawama pale wanapokwama.
Back
Top Bottom