Kipindi magufuli anaingia waliwaondoa wote njiani sijui kilimkuta nini akawarudisha.. That was bad move.. Mambo yanatakiwa yafuate mipango iliyopangwa.. Ukiacha holela holela ndio kujenga jiko na choo sehemu moja
Je katika ramani walitengewa.. Yani sometimes huwa tuna idea za ajabu. Eti wakitengewa sehemu huwa wanasema wateja hawaendi.. Hivi huwa najiuliza kuna mtu anagoma kwenda hospitali kisa ipo mbali.. Binadamu lazima afuate huduma popote ilipo kama anahihitaji.. Machinga wanatakiwa wakae sehemu moja...
Yani hapo ndio tunakosea.. Kuna vitu vinaitwa uongozi.. Hao wafanya biashara wadogo si wajengewe sehemu yao nje.. Tunaendekeza sana hizi tabia yani kila sehemu wametandaza biashara