Recent content by Edward Teller

 1. Edward Teller

  Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

  Muungano wetu una walakini kuanzia day one..hakuna terms zinazoeleweka, ndo mana upo fragile chama kimoja tu ndo kinaupgania. Siku chama kingine upande wowote kikachukua full authority ndo itakua mwisho wa huu muungano. Binafs sijawahi kuupenda, sijaona sababu ya kuungana nao kabsa..
 2. Edward Teller

  Nimesikiliza Shule ya Uongozi ya Polepole, nimejua Polepole hapaswi tena kupewa nafasi yoyote kubwa ya kiuongozi

  Me nashangaa huyo incharge wa hicho chuo bado anampa nafasi ya kuongea..
 3. Edward Teller

  Nabii Mashimo amtaja Malisa GJ kama mrithi wa Paul Makonda

  Mashimo kumuita mchungaji ni kujiongezea zambi tu..
 4. Edward Teller

  Ndoa yangu haina amani

  Chunguza vzuri. Utakuta ana mchepuko ndo mana anadharau
 5. Edward Teller

  NMB Bado hawajatii maelekezo ya BoT ya kupunguza Riba kwenye Mikopo

  Hio ndo sehemu sahihi sana..kama hawacomply hapo watabanwa na dakika moja tu watakomply. Ndo mana nimekwambia wachek bot dawat la malalamiko..sio lazma uende bot, waandikie tu concern yako. Hapa mtu ataruka kuwa hajapata official notification
 6. Edward Teller

  NMB Bado hawajatii maelekezo ya BoT ya kupunguza Riba kwenye Mikopo

  Ukiona NMB hawaja comply nenda BOT wana dawati la kupokea malalamiko kama hayo..utapata majibu vzur.
 7. Edward Teller

  Kalemani huu sio ufisadi kwa kujenga ofisi ya TANESCO ya mabilioni katika Kijiji cha Chato, kubwa kuliko ofisi yoyote Kanda ya Ziwa na Kati?

  Naamin Tanexco haikua priority yao kujenga huko..kama aliyekua na wizra ni wa chato +yule incharge..Tanexco hawakua na option zaid ya kufanya huo ujenz..chato ingekua transformed kutoka kijij hadi jiji tena lenye national Park kama Nairobi
 8. Edward Teller

  Kalemani huu sio ufisadi kwa kujenga ofisi ya TANESCO ya mabilioni katika Kijiji cha Chato, kubwa kuliko ofisi yoyote Kanda ya Ziwa na Kati?

  Ashukuriwe Mungu kwa matendo yake makuu,ikiwemo kumchukua bwana yule. La sivyo tungekua zaid ya North Korea au Mobutu,
 9. Edward Teller

  Nilidhani ukiingia mbuga ya wanyama Unaona wanyama kirahisi kumbe napo tabu tupu

  Mimi baada ya kutembelea mbuga kadhaa hapa, nime conclude siende tena mbungan. Nikitaka kuona wanyama na mishe zao vzur nachek national geographic(wild),hapo napata maelezo ya kunitosha
 10. Edward Teller

  Vibanda vya machinga na mama ntilie Posta Dar ni kero kubwa

  Nazan tatzo halipo DSM tu, hata mikoani,machinga wamevamia maeneo mengi, sio parking, si open space,sio road reserve wala ukuta wa ofis wao wameweka makaz hapo, mbaya zaid vbanda vyao huyu kaweka nylon, huyu kaweka bati lililozeeka, huyu kaweka majan ya miti ili mrad tu awe na sehemu ya kivul na...
 11. Edward Teller

  Huyu mume mpya wa Salma Msangi ni nani?

  RIP warumi..mana ndo mtu pekee ambaye angeweza leta huu uzi vizuri na akatumia code zake kumtaja mhusika..pengo lake halitazbika
 12. Edward Teller

  EWURA yasitisha bei mpya za mafuta

  What a circus...naona kuna tatzo la kiutawala internally..nan alruhusu bei zpande?altumia factors gan?nan anazshusha?kwa reasons gan?#hawajielewi
 13. Edward Teller

  Kwanini Tanzania iendelee kununua ndege?

  Kwenye manunuzi meng yanayohusisha Cash ndo watu hula percent zao hapo, so wapgaj kama ilivyokua kwa Mareham watalazmisha wanunue cash
Top Bottom