Recent content by Duomili

  1. D

    UKAWA wazua hofu bungeni, polisi wajipanga kuwakabili

    Chezea mzee wa bakora weye! Wangechelewa kutoka pangenuka!
  2. D

    UKAWA wazua hofu bungeni, polisi wajipanga kuwakabili

    UKAWA watollewa nje na spika.
  3. D

    Yanayojiri Bungeni 19 Novemba, 2015: Rais Magufuli amteua Majaliwa K. Majaliwa kuwa Waziri Mkuu

    PM Mtarajiwa Hana makundi. Na ni kio ngozi mahiri asiyekuwa na uccm wala ucdm na Mh JPM anataka kulifanya taiga kuwa moja. Ila namsilitikia Mh Nape alitegemea Sana kuwa PM. Mpeni pole.
  4. D

    Mkwasa jiuzulu mwenyewe, usisubiri kutimuliwa

    Kwani mkuu tumepigwa ngapi?
  5. D

    Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Dr.JPJ Magufuli Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania,anaongoza kwa kuonesha mfano. Hii no kuonesha kwamba c lazima Sana ndege! Ikiwa no pamoja na kujionea hali halisi ya mahali anapopita na kuwashukuru wananchi kwa kumchagua.
  6. D

    Sifurahii kuwa 'single woman', sijui nifanyeje

    Huku ukionesha hofu na wasiwasi kutoka kwa wazazi na ukimtaka maamuzi huru na magumu kuhusu hatma ya kunasa ktk maisha yenu na wazazi.
  7. D

    Sifurahii kuwa 'single woman', sijui nifanyeje

    Kama ulivyosema kuwa mnaonana (6) kwa nadra Sana,mpige mkwara kuwa u menasa umsikilize! Na hapo ndipo pa kutokea.
  8. D

    Sifurahii kuwa 'single woman', sijui nifanyeje

    Nitafute tafadhali nikupeleke kwa babu yangu atashika adabu take.
  9. D

    Magufuli isimamie haki yetu wakazi wa Kurasini (Dar), tunafukuzwa kama Wakimbizi

    Rushwa na kufahamiana kumekithiri! Sasa watoto was maskini na wanyonge waende wapi? Ila tunaamini rais wetu iliahidi kututetea wanyonge.
  10. D

    Magufuli isimamie haki yetu wakazi wa Kurasini (Dar), tunafukuzwa kama Wakimbizi

    Cha kushangza wanafunzi wapya wanapewa wa zamani wananyimwa na wakati sifa vigezo wametimiza yapaswa bw. Laizer achunnguzwe.
  11. D

    Magufuli isimamie haki yetu wakazi wa Kurasini (Dar), tunafukuzwa kama Wakimbizi

    Dr jpj magufuli tuokoe wanachuo 6 wa chuo cha ardhi mwaka wa 3 tupewe mkopo.
Back
Top Bottom