Recent content by Dseni

  1. Dseni

    Waziri Jerry Slaa nalalamika kwako

    Robo ekari. Unataka kunisaidia au namna gani
  2. Dseni

    Waziri Jerry Slaa nalalamika kwako

    Ulipoteuliwa kuwa waziri nilipata matumaini makubwa kwamba Kiwanja changu ambacho naambiwa namba zimeingiliana na kiwanja kingine lingetatuliwa. Nimefuatilia zoezi la kupata hati kwa miaka 3 sasa; nililipia hati! Lakini ghafla nikaambiwa namba ya kiwanja imeingiliana na kiwanja kingine. Je...
  3. Dseni

    DOKEZO DAWASA Kibaha Wamesitisha Huduma ya Kuunganisha Maji kwa Wateja wapya

    Kwanini miradi mingi ya serikali huwa inaanza kwa kwa bashasha na kwa kadri muda unavyoendelea, ndivyo inavyozidi kudorora? Suala la kuunganishiwa maji limekuwa gumzo katika maeneo mengi. Wacha nitoe uzoefu wangu. Mimi ni mkazi wa Mivumoni, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinindoni, nilijaza form ya...
  4. Dseni

    RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

    Maswali kumi (10) magumu kuyajibu kuhusu kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu Wabunge wa Chadema waliojiweka karantini kwa majuma mawili. Nimeumizwa na matamko ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, ndugu Paul Makonda. Kauli yake inaibua maswali 10 ambayo kama ukiweza kujibu hata moja tu...
  5. Dseni

    Uchambuzi wa kauli ya raisi Magufuli kwa viongozi wa Dini katika muktadha wa COVID-19

    Asante kwa kusoma uchambuzi. Lakini swali lako Uraia wa nini tena? Mimi Mtanzania, nimezaliwa Meatu-Simiyu-Tindabuligi. Yaani mpaka hapo afsa uhamiaji nilishamwacha mbali. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Dseni

    Uchambuzi wa kauli ya raisi Magufuli kwa viongozi wa Dini katika muktadha wa COVID-19

    Asante kwa kusoma uchambuzi huu. Mimi nina tahadhari ya kutosha kwa sababu siwezi kumjaribu Mungu wangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Dseni

    Uchambuzi wa kauli ya raisi Magufuli kwa viongozi wa Dini katika muktadha wa COVID-19

    Asante. Mungu akubariki Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Dseni

    Uchambuzi wa kauli ya raisi Magufuli kwa viongozi wa Dini katika muktadha wa COVID-19

    Mungu bado ni Mungu na bado Mkuu vile vile, shida ni wanadamu kushindwa kufahamu utendaji kazi wake tu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Dseni

    Uchambuzi wa kauli ya raisi Magufuli kwa viongozi wa Dini katika muktadha wa COVID-19

    UCHAMBUZI WA KAULI YA RAIS MAGUFULI KUHUSU VIONGOZI WA DINI KATIKA MUKTADHA WA COVID-19 Na: Mchungaji Daniel Seni Tarehe 3/5/2020 raisi John Joseph Pombe katika hafla ya kuapishwa kwa waziri mpya wa Katiba na Sheria, Dr. Mwigulu Nchemba, aliyeteuliwa kutokana na kufariki kwa aliyekuwa waziri...
  10. Dseni

    Igunga: Hii ndiyo mbinu mpya ya kutuibia walipa kodi wa ardhi?

    Binafsi niwashukuru wote ambao mmechangia katika uzi huu. Jambo la kufurahisha ni kwamba AFSA ARDHI WA IGUNGA amenipigia simu na tuliongea na kuahidi kwamba atalifanyia kazi. Kwa pamoja tulibaini kwamba palikuwa na lugha gongana kati yangu na afsa aliyenihudumia siku hiyo. Kwa kweli...
  11. Dseni

    Nikiuliza matumizi mbona anakuwa mkali

    Hivi kwenye JF ni wanaume tu? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Dseni

    Uzi Maalum wa maswali na masuala mbalimbali yahusuyo Kodi, ushuru na masuala mengine yanayowahusu TRA

    Alikosea akaandika 5.7. Wewe ungekuja na 5.8 ungepata. Lakini pia hiyo 4.5 ni starting na wala siyo mwisho Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Dseni

    Igunga: Hii ndiyo mbinu mpya ya kutuibia walipa kodi wa ardhi?

    MBINU MPYA YA KUWAIBIA WAMILIKI WA ARDHI. Nasikitika kuwaambia kuwa kuna mbinu mpya ambayo mimi naona kama imebuniwa kwa ajili ya kuwaibia wananchi-Wazalendo wa wilaya ya Igunga kuhusu malipo ya kodi ya ardhi. Ninacho kiwanja pale Igunga. Tarehe 21.02.2020 nilienda kwa ajili ya kulipia kodi ya...
  14. Dseni

    Igunga: Hii ndiyo mbinu mpya ya kutuibia walipa kodi wa ardhi?

    IGUNGA: HII NDIYO MBINU MPYA YA KUTUIBIA WALIPA KODI WA ARDHI? Nasikitika kuwaambia kuwa kuna mbinu mpya ambayo mimi naona kama imebuniwa kwa ajili ya kuwaibia wananchI-Wazalendo wa wilaya ya Igunga kuhusu malipo ya kodi ya ardhi. Ninacho kiwanja kimoja pale Igunga. Leo tarehe 21.02.2020...
  15. Dseni

    Igunga: Hii ndiyo mbinu mpya ya kutuibia walipa kodi wa ardhi?

    IGUNGA: HII NDIYO MBINU MPYA YA KUWAIBIA WAMILIKI WA ARDHI. Nasikitika kuwaambia kuwa kuna mbinu mpya ambayo mimi naona kama imebuniwa kwa ajili ya kuwaibia wananchI-Wazalendo wa wilaya ya Igunga kuhusu malipo ya kodi ya ardhi. Ninacho kiwanja kimoja pale Igunga. Leo tarehe 21.02.2020 nilienda...
Back
Top Bottom