Recent content by Don Clericuzio


 1. Don Clericuzio

  Mnaohoji kuhusu Ruzuku ya Chadema kokotoa bei ya hizo Gari za chama

  Mara nyingi tumekuwa tukilalamika kwamba CCM wanakimbia mijadala, hawataki kujibu vitu kwa hoja, wanakimbilia kutukana au kukaa kimya. CDM tulitegemea kama chama kinachojitangaza kutaka kuitoa CCM madarakani hakioneshi tofauti kwenye hilo, ni wale wale.
 2. Don Clericuzio

  Mnaohoji kuhusu Ruzuku ya Chadema kokotoa bei ya hizo Gari za chama

  Sawa mkuu, ushauri wangu kwenu kama watetezi ni kwamba msiingie kwenye mtego wa kukwepa hoja kwa kuwabatiza majina ya CCM wanaowapinga, hayo ni mambo ya CCM kukwepa hoja, jitofautisheni ili tuwaone kwamba siyo walewale.
 3. Don Clericuzio

  Mnaohoji kuhusu Ruzuku ya Chadema kokotoa bei ya hizo Gari za chama

  Kama CCM walivyo, ukiwapinga wanakuita CDM badala ya kujibu kwa hoja. The same same kwenu, ningetegemea uje na hoja za umiliki, idadi kamili ya magari, kwa nini magari na si kujenga ofisi za matawi, kutengeneza base kama vitongoji, vijiji, wilaya na mikoa. Eti unaniita CCM! Very disgusting kwa...
 4. Don Clericuzio

  Mnaohoji kuhusu Ruzuku ya Chadema kokotoa bei ya hizo Gari za chama

  Hivi Mbowe ameweza vipi kuwa-brainwash vijana? Kweli tumeingia kwenye huu mtego! Eti ruzuku baada ya kulalamikiwa ndo tunaoneshwa picha za magari (sample, ambayo kama ni halali basi sample hiyo ni 100% ya population), na kafanikiwa, I doubt kama Ufipa nao hawana kitengo cha buku7 kama Lumumba
 5. Don Clericuzio

  JF Usiku wa Manane...!

  Ticha mimi leo nipo kama sipo.
 6. Don Clericuzio

  JF Usiku wa Manane...!

  Cool, wewe pia.
 7. Don Clericuzio

  Kaka Pascal Mayalla, huwa unajisikiaje unapokosekana kwenye teuzi za Rais/Waziri hadi sasa?

  Kuna wakati binadamu tunaamua kusema yaliyo moyoni mwetu kupitia kwa wengine. Nadhani ndo Petro E. Mselewa alichokifanya. Tukiwa watoto kuna style tulikuwa wakati mwingine tunazitumia kuomba kitu kwa wazazi, kwa kutaja kwamba mwingine ndo anataka huku ukijua wewe ndo mhitaji.
 8. Don Clericuzio

  Kaka Pascal Mayalla, huwa unajisikiaje unapokosekana kwenye teuzi za Rais/Waziri hadi sasa?

  Pasco anatumia Fasihi sana kwenye maandishi yake, kuna nahau ya, "Kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa". Kwa hiyo mara zote wakurupukaji wengi wanakimbilia kuponda kumbe wanakuwa hawajaelewa content ya alichokiandika. Kitu ninachokiona humu watu wanafanya conclusion kabla ya kusoma, kwa hiyo...
 9. Don Clericuzio

  Enzi nilipokuwa kikojozi duu!

  Kwa waliokojoa kitandani tu!! - JamiiForums
 10. Don Clericuzio

  Misamiati mipya ya Kiswahili sanifu

  Mkuu mimi nimefanya tafsiri tu hapo.
 11. Don Clericuzio

  Misamiati mipya ya Kiswahili sanifu

  Kwa muktadha huo Magonjwa Mtambuka ni Cross Cutting Diseases.
 12. Don Clericuzio

  JF ina Majungu jamani: Kupitia Post yangu ya roho inaniuma ila no way out nimejifunza haya

  My prayers too.
 13. Don Clericuzio

  CHADEMA yaingiza magari mapya kwa ajili ya shughuli za uenezi wa chama

  Sample - magari 5. Halisi ni mangapi?
 14. Don Clericuzio

  JF ina Majungu jamani: Kupitia Post yangu ya roho inaniuma ila no way out nimejifunza haya

  Hahaha, jamaa toka adakwe na polisi kuhusu issue ya FB hajasikika tena, sijui yuko wapi aisee.
 15. Don Clericuzio

  Kwanini ung'ang'anie kuwa kama fulani

  Kwa hiyo unatuvalisha Bomu sisi...