Recent content by DiwaniMteule

  1. D

    Mh. Waziri mkuu, angalia Halmashauri mpya zilizoanzishwa kwa karibu na umakini

    Hongera sana Mh.Majaliwa Kassim Majaliwa kwa kuteuliwa kuwa waziri mkuu wa serikali yetu tulivu ya Tanzania.Tunakuomba angalia kwa makini hizi halmashauri mpya katika utendaji na ufanisi wake na hasa halmashauri za mikoa ya pembezoni ya nchi kama vile Kigoma,Ruvuma, Katavi na mingine iliyoko...
  2. D

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Natanguliza shukrani kwa uteuzi wako na mungu akupe maisha marefu na yenye afya.Tunaamini maendeleo ya nchi yanaanzia katika halmashauri za wilaya na ndiko ambako fedha na miradi mingi ya maendeleo iko huko. ila kimsingi watekelezaji na watendaji wake wamekuwa ni miungu wadogo hivyo ufanyaji wa...
Back
Top Bottom