Recent content by DISSofficerrec

 1. D

  Huyu ni nani?

  Anaitwa Merey balhabou. Ukisearch kwenye google utampata. Ni mfanyabiashara wa mafuta. kuna kipindi alikuwa anatuhumiwa kwa kukwepa kodi ya zaidi ya bilioni 22 na tra. Pia inasemekana alikuwa anafanya biashara ya kubadilishana mafuta kwa almasi huko congo drc akishirikiana na Gen. Mboma. Pia...
 2. D

  Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

  Mkuu upo kitengo gani? Nimekuogopa tayari.
 3. D

  Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

  we hujasoma text yake vizuri. huoni ameshajifanyia kitu kinaitwa profiling. na pia hatakuwa amshawaambia na marafiki zake before kaja hapa. Based on the profile unaweza kumjua. current masters student, age 28, interest: Usalama, Dislikes: Military Training. Atakuwa kishamuambia one of his/her...
 4. D

  Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

  Mdogo wangu huna sifa. Hii kazi kama unataka hutakiwi kuji publish. Hutaweza kutunza hutayoshuhudia au kuyaona. Kuna kitengo cha research na recruitment kama una access nao poa tu. Mara nyingi hizi kazi kama ni kuapply huwa taarifa zinatoka ndani na huwa hazitoki magazetini. ndo maana wanopata...
 5. D

  Jamani hizi supplementary kwa finalists UDSM zinatutesa

  Dogo kaambiwe aende mzumbe au Tumaini ili asipate sup na zidi apate first class. Tumaini hata ukiwa kilaza unapata first class
 6. D

  Maandamano ya wanafunzi wa Sekondari +Shule za msingi.

  Ndo kizazi kijacho hicho mambo ya ndiyo mzee hayapo kwao. Ndo kizazi kitacholeta mabadiliko nchii hii. Hicho ndo kizazi kipya.
 7. D

  Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

  Kwa hiyo sisi tusio wanachama wa chama chochote cha siasa tu wanatuvuruga akili zetu ili kujinufaisha politically? Mzee mi simo nisje nikaanza kurushiwa madongo
 8. D

  Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

  Mi nilidhani kuna watu wapo ikulu karibu na sirikali as they claim to be wangetupa information za ndani sana. From this one i see a bunch conspiracy theorists together with a bunch of propaganda engineers. Tukubali tu yaishe. Tumempoteza mwanamapinduzi. RIP chacha wangwe. Aluta continua
 9. D

  Jamani hizi supplementary kwa finalists UDSM zinatutesa

  Shule ya mzumbe na Tumaini hamna kitu.
 10. D

  Jamani hizi supplementary kwa finalists UDSM zinatutesa

  Tatizo moja mdogo wangu hamsomi. Mnaishi kwa madesa, Kudesa, na zimamoto. Zikija sup 80 wa kumlaumu nani? Vijana hamsomi mnaendekeza sana starehe? Piga shule soma sana vitabu hata mwalimu akiwa na kinyongo hakupati
 11. D

  Bhoke Munanka, Waziri wa zamani wa Nchi ofisi ya Rais akishughulika Usalama, afariki

  wew angalia huyo jamaa ambaye amekuja na ishu kwamba bhoke ni fisadi. Unaweza ukasema huyu anakata ishu ya maana. kuna watu kama kina mwanakiji nawapa heshima yao. kuna wengine hawajui wanongea kitu gani.watu wanakurupuka tu ili mradi. Na hao ndo mimi nawaona ni wanafiki. Wewe u are free to say...
 12. D

  Bhoke Munanka, Waziri wa zamani wa Nchi ofisi ya Rais akishughulika Usalama, afariki

  Kama nimekugusa iam sorry. Sijanyamazishwa na mtu. Nimewasilisha mtazamo wangu. Hilo ni la ukweli kwamba wengi na sisi tunashiriki vitendo vya kifisadi kwa nafasi tulizopo. Akili zangu au uelewa wangu hauwezi ukapimwa kwa kubishana na watu na mtu kama wewe. Ubingwa wako wa kuchezesha maneno...
 13. D

  Bhoke Munanka, Waziri wa zamani wa Nchi ofisi ya Rais akishughulika Usalama, afariki

  hayo mambo ya ufisadi wa huyo mzee hayatuhusu.Ufisadi unaofanyika sasa hivi ndo our main concern. Watanzania ni wanafiki sana. Tujadili EPA na Richmond maana hizo ndo zinatuumiza pamoja na mambo mengine yanaoendelea. . Ufisadi kama aliufanya huyo jamaa hauwezi ukawa na impact kama uliopo sasa...
 14. D

  Tafadhali nisaidieni hesabu hii

  elfu moja ipo kwa wageni
 15. D

  Tafadhali nisaidieni hesabu hii

  Yule mhudumu alirudi na kuwakabidhi kila mmoja sh 1,000 kwani hakuwa na chenji kamili I think jibu litakuwa kwenye hii sentensi. Hiyo 1000 anayo kila mmoja ya hao watu watatu. sasa hakuwa na chenji kamili ina maanisha nini? hapo ndo umenichanganya.
Top Bottom