Recent content by DMmasi

  1. DMmasi

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    swala la kushindwa kujieleza inategemea na mazingira huwenda jamaa alijawa na hofu (kitete) sizani kama kuna mtu mzima hawezi kujieleza
  2. DMmasi

    Ni tatizo la Kisaikolojia au ushirikina?

    mimi sijawaza mengi nimewaza tuu akiowa inabidi litengenezwe la 6×6 alale na mkewe
  3. DMmasi

    CHADEMA kuna ujumbe wenu hapa

    ameongea vitu wasivyopenda kuvisikia
  4. DMmasi

    CHADEMA kuna ujumbe wenu hapa

    sema vyama vya ushirika vimeletwa kama msaada kwa wakulima ila ndovimeenda kuwanyonya
  5. DMmasi

    Siasa na michezo

    Salaam waungwana, Kumekuwa na kasumba ya baadhi ya wenye mamlaka kuingilia michezo mbalimbali. Sote tutakubaliana tangu 2015 tunayo aina ya viongozi ambao katika kila jambo wanaelekeza sifa na shukrani kwa raiya namba moja. Juzi wakati nasikiliza michezo waziri aliyepo kwenye hii wizara...
  6. DMmasi

    We CHADEMA, umepiga pigaje hapo!?

    Ukiwa mtu wa kutoamini sana utaishi kwa kuchagua ambayo hukupaswa kuchagua Wengi mlitaka kuona vurugu ndomwamini basi haya ni maandamano
  7. DMmasi

    Kabla ya Watanzania kupambana na haya tutibu kwanza

    Ukitaka kuukimbia umasikini sasa unabidi uwanze kuvishinda hivyo vijamaa
  8. DMmasi

    Kabla ya Watanzania kupambana na haya tutibu kwanza

    Hii inatesa hadi vikongwe ila genye ni kitongoji cha tamaa
  9. DMmasi

    Kabla ya Watanzania kupambana na haya tutibu kwanza

    Chuki unafiki na tamaa vinatutafuna sana Hasa sisi vijana tumejengwa kwenye mfumo mbaya sana Kuna duara tumechorewa tunarukaruka uko ndani
  10. DMmasi

    Kabla ya Watanzania kupambana na haya tutibu kwanza

    Chuki unafiki na tamaa vinatutafuna sana Hasa sisi vijana tumejengwa kwenye mfumo mbaya sana Kuna duara tumechorewa tunarukaruka uko ndani
  11. DMmasi

    ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

    Kwaya inaimba na kujisifu yenyewe Sema mnaanzaga hivi mnaanza kung'atana
  12. DMmasi

    Kabla ya Watanzania kupambana na haya tutibu kwanza

    Kabla ya kupambana na 1. Umaskini 2. Maradhi 3. Ujinga Kuna vya kutibu kwanza 1. Chuki 2. Tamaa 3. Unafiki
  13. DMmasi

    Ukweli mchungu na sababu za kusimamishwa kwa Chama jr

    Kama kweli anataka kuchange mazingira aende tuu
  14. DMmasi

    DRC Pamoja na Hali Tata Wanaweza Kuendesha Uchaguzi wa Kidemokrasia Kuliko Sisi Tusemao Tuna Amani na Miundombinu Rafiki

    Kwamba kuna uwezekano katumbi amekatia wadau mnofu mkubwa kuliko Tchisekedi
  15. DMmasi

    Mipango ya ovyo ya Serikali katika utoaji ajira

    Uhuni uhuni mwingii tuu
Back
Top Bottom