Recent content by Dickson Mpemba

  1. Dickson Mpemba

    JamiiForums Tanzania GE2020 Corona virus: Uchaguzi 2020 kuahirishwa?

    Katiba hiyo hiyo ya JMT inaelekeza kinachotakiwa kufanyika kwenye Majanga ya kiasili kama Mafuriko,Maradhi na hata vita. Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. Dickson Mpemba

    JamiiForums Tanzania GE2020 Corona virus: Uchaguzi 2020 kuahirishwa?

    Sometime we come across the painful reality like the devastating corona virus that we are facing now as a nation. I know that together if we join our efforts, we shall triumph at the end as a nation. However, as we start counting the cost and losses caused by this pandemic, we should also not...
  3. Dickson Mpemba

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Joketi ndio kiongozi anayefanya kazi vizuri kuliko Wakuu wa Wilaya wote hapa Tanzania, afungua choo

    Boss Ambaye hawezi Kuteua!?! #kikiNiKiki Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. Dickson Mpemba

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    #HakunaMkateNusuHapa # TunanyooshaMTIsiyoKIVULI, Maridhiano ni hadi mtakapoamua kufanya Siasa siyo Harakati # HapaKaziTu.
  5. Dickson Mpemba

    JamiiForums Tanzania The Economist: Rais Magufuli ametangaza kufuta Upinzani ifikapo 2020 na kuirudisha Tanzania kuwa Nchi ya chama Kimoja

    Hatutishwi na Mabeberu Pamoja Na vibaraka wao.
  6. Dickson Mpemba

    JamiiForums Tanzania Mliopo na mliowahi kufika Canada mnijuze

    Kwa sababu una back group ya lugha ya kichina mji unaokufaa ni vancouver
  7. Dickson Mpemba

    JamiiForums Tanzania RC Mnyeti kapata wapi pesa ya kujenga shule ya sekondari kwao?

    Ni wivu Tu, Ni wivu nasema ni Wivu
  8. Dickson Mpemba

    JamiiForums Tanzania Serikali ichukue hatua dhidi ya shirika la IMF kwa kuvujisha taarifa .

    Tunawajua Mabeberu na mbinu zao this time we have a Patriotic Leader the Son of our Motherland Tanzania, who is very strong and can not be intimidated. #TunanyooshaMTIsiyoKIVULI
  9. Dickson Mpemba

    JamiiForums Tanzania Najua wengi hatumpendi Rais Magufuli ila tunayaonaje haya?

    With time MTAELEWA tu, #TunanyooshaMTIsiyoKIVULI Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Dickson Mpemba

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mtwara na Lindi susieni ziara ya Magufuli hadi awalipe hela zenu za Korosho

    Tumeshamaliza Mzizi wa FITNA, tumeweka majina ya wakulima wote waliokwisha pokea malipo kwenye unaona wa Matangazo kwenye kila ofisi ya kijiji na ofisi ya AMCOS, kumbe walikuwa wanadhurumiana wenyewe na wakaamua kufanya Siasa uchwara sasa hivi ambaye anadai hajalipwa atoe ushahidi...
  11. Dickson Mpemba

    JamiiForums Tanzania ATCL kupeleka ndege Afrika Kusini pamoja na Airhostess walikuwa sahihi, tusichukulie kila jambo ni "ufisadi"

    Ur trying to justify stupidity, Mh.Rais alisema yote hayo ili kujaribu kuonyesha ni jinsi gani gharama zilizokuwa zinaorodheshwa ili kujustify Gharama ambazo kimsingi zilikuwa zinakiuka Maelekezo ya kuu brand ndege hiyo hapa hapa Nyumbani na sio vinginevyo. Acheni ule ujinga wa Mayai makubwa ni...
  12. Dickson Mpemba

    JamiiForums Tanzania Walinzi waeleza mwanzo mwisho walivyomsaidia Mo Dewji usiku baada ya kuachiwa na watekaji

    Hii Sinema bana yaani Mo Mwenyewe anawaambia hao askari kwamba yeye Ni Yule Mo, Mohammed Dewji aliyetekwa alijuaje kama kila mtu anajua kwamba yeye Ametekwa!?[emoji432][emoji441][emoji85][emoji87][emoji1580]‍[emoji310][emoji1579]‍[emoji310][emoji102][emoji102]
  13. Dickson Mpemba

    JamiiForums Tanzania CCM mnawatesa watetezi wenu wa mitandaoni!

    Siku hizi wanaitwa TANAPA
  14. Dickson Mpemba

    JamiiForums Tanzania Demokrasia inavyodumaza Maendeleo Afrika

    Kaka umefikiria nje ya Box kabisa, Ndiyo maana tunahitaji ukichaa fulani hivi ili tuitoe Hii nchi hapa ilipo.
Back
Top Bottom