Recent content by desmond JJ

  1. desmond JJ

    Baada ya Uhuru, Tanzania imewahi kuwa na uchaguzi mkuu HURU na HAKI?

    Uchaguzi wa 2025 umefanyika lini?[emoji15][emoji15] Au mimi ndio nimeachwa sehemu, maana bado niko 2023 tena mwanzoooni kabisa. Mwandishi usiwe serious sana, punguza mihemko unapoandika[emoji2][emoji2]
  2. desmond JJ

    Serikali kuanza maboresho ya Daftari la Wapiga Kura

    Hahahah ugaidi tena??.... Uchaguzi si tunashiriki wote?
  3. desmond JJ

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi utakuwa wa haki na uwazi – NEC

    Tume ya Taifa ya uchaguzi imesisitiza kuwa Uchaguzi utakaofanyika Tarehe 28 Oktoba, 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye kuzingatia uwazi kwa mujibu wa sheria. Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mstaafu Mhe. Mbarouk S. Mbarouk alipokuwa akihutubia Mkutano wa Wadau na Asasi...
  4. desmond JJ

    Uchaguzi 2020 Tujikumbushe kuelekea uchaguzi mkuu tarehe 28 Oktoba, 2020

    TUJIKUMBUSHE MAMBO MBALIMBALI KWA MUJIBU WA MIONGOZO YA NEC Wajibu wa Vyama vya siasa wakati huu wa kampeni ni kunadi sera kwa kuzingatia Sheria za Uchaguzi,Kanuni na Maadili ya Uchaguzi. Kama inavyoelekezwa katika kifungu cha 51 (1) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na kifungu cha...
  5. desmond JJ

    Uchaguzi 2020 Mjadala mkubwa juu ya kuenguliwa kwa wagombea wa vyama mbalimbali

    Hatari hii. Jamaa wanataka kusepa na Mpira kwapani[emoji3][emoji3][emoji3]
  6. desmond JJ

    WAKATOLIKI: Je, unamuamini vipi padri unayekwenda kuungama/kutubu dhambi mbele yake?

    Utaacha kumwamini Mwalimu wako kwakua anasoma mara kwa mara anapogundua ana mapungufu? Padri si Mungu, wala malaika, hatuna watakatifu wanaoishi duniani Sent using Jamii Forums mobile app
  7. desmond JJ

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nahitaji kufahamu gharama za Makato kwa kila sms moja mnayomtumia mteja wenu anapo fanya credit au derbit?
  8. desmond JJ

    Nini tiba ya maumivu ya nyonga kwa wachezaji wa mpira wa miguu?

    Wataalamu naomba kufahamishwa namna ya kutibu maumivu ya nyonga, ni tatizo linalonikumba kila mara nikiwa katika mazoezi ya mpira wa miguu au hata hizi mechi zetu za mchangani maumivu yananinyima uwezo wa kupiga pasi ndefu Kukimbia kwa spidi Kugeuka kwa haraka Pamoja na kuruka (high jump) naomba...
  9. desmond JJ

    Vitabu vipya vya TIE na hatma ya Tanzania

    Vile sio vitabu vya kufundishia,ni maigizo wameleta
  10. desmond JJ

    Vitabu vipya vya TIE na hatma ya Tanzania

    Uchambuzi mzuri Tabu nyingine ipo vitabu hivyo hivyo kwa ngazi ya sekondari Tatizo kubwa huko ni less contents
  11. desmond JJ

    Wanaume waliosoma seminari

    Waoga sana wa kuumiza, akidate na madem,hata mia hana ujasiri wa kuwapiga chini when it comes to the choice.. Akiwa na mademu 10 wote watapangwa kwa style hiyo,na kila mmoja atajiona ni malkia,kumbe wako mia. Akiwemo mke
  12. desmond JJ

    Watumishi wa umma: Huduma ya Watumishi Portal inafanya kazi?

    Jisajili upya ila kwa kutumia computer, ukitumia simu huwa inasumbua sometimes
  13. desmond JJ

    Kama TISS wataamua kuwa wauaji, watekaji na watesaji, kuna kiongozi wa upinzani atasalimika?

    Sasa kama inalinda wananchi kabla ya matukio kutokea??! Mbona watu wanapotea na matukio yanaendelea bila hata ya wao kuwa na taarifa?? Na kama wanazo kwanini wasiwasaidie wanaotaabika kwa kupotelewa au kwa majanga yalotokea kwa ndugu zao? Unaniyumbisha unavyoniambia wao ndio kila kitu kwene...
Back
Top Bottom