Recent content by Decor Bysco

 1. Decor Bysco

  Watu wa Dar bhana....

  Hadi leo sijaona umuhimu wa salamu asee, naonaga kama shobo tu[emoji16][emoji16][emoji16] i wish kila mtu angefuata mambo yake tusiongeleshane hadi mtu awe na shida ndo amuongeleshe mwenzake.
 2. Decor Bysco

  Hii hali ya watu kunuka mdomo na jasho ni ugonjwa au ni uchafu

  Sio kile kama cha mafua hivi, aisee nilifanya kazi kwa wachina, Kweli ile harufu hadi na leo siwezi kuizoea, inaboa sana.
 3. Decor Bysco

  Hii hali ya watu kunuka mdomo na jasho ni ugonjwa au ni uchafu

  Kunuka ni nini? Je mtu hatakiwi kutoa harufu? Maana kuna harufu zingine kwako inaweza isiwe nzuri ila kwa mwingine ikawa nzuri tu, Au unamaanisha tujipulizie marashi? Ila pia sio kila marashi yatamvutia kila mtu, Bado kuna wengine watasema arufu ya marashi uliyojipulizia ni mbaya, Je, harufu...
 4. Decor Bysco

  Ndugu zangu nisaidieni ujanja ili nitambue dhahabu halisi na feki

  Kwani huyo mwanamke ukimuuliza anasemaje?
 5. Decor Bysco

  Mambo 5 yatakayokufanya ufe maskini

  Hapo umeandika wanaotumia social media kwa muda Zaid ya masaa mawili, Swali, Je ambao ndo tunatumia social media kudrive biashara zetu unamaanisha kuwa matajiri ni haiwezekani?
 6. Decor Bysco

  Sikuwahi kuamini Kuna watu wanakula Bata kiasi hiki

  Jaribu kwenda na Kidimbwi
 7. Decor Bysco

  Mapazia ya kushona, kutokana na uhitaji wako wa rangi

  [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 8. Decor Bysco

  Mapazia ya kushona, kutokana na uhitaji wako wa rangi

  Kama utahitaji fullset kama set namaanisha matatu yaani Mazito mawili na moja jepesi ama(Lace) Ukihitaji nicheki WhatsApp 0685269533, ili kujionea sampo zaidi, kupata maelezo zaid na hata kuweka order yako, Deliveries zipo kwa Dar na mikoani natuma pia.
 9. Decor Bysco

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Mwananchi hili eneo hapa kuna tatizo gani maana maeneo jirani yote umeme ulisharudi toka mchana
 10. Decor Bysco

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Tanesco, Tabata mwananchi tunaomba umeme, usiku huu sasa
 11. Decor Bysco

  Nyayo unazoacha ndizo zitakusumbua

  [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah! Na ndo ukweli huo
 12. Decor Bysco

  Arusha Ushoga na Usagaji umeshamiri hadi Bar za kuuza mashoga zipo

  Oi mwanangu ebu nisanue kuhusu hili pm maana me nimeskull chuga since 2009 hadi 2017 na nimekuwa nikiskia hizi mambo kwa vijana wenzangu, then i have some of friends ambao nimesoma nao kabisa wana hii scandal babu maisha yao mtandaoni waweza kusema kina Chris brown wa marekani
Top Bottom