Recent content by David Serikali

  1. David Serikali

    JamiiForums Tanzania Siku 100 za Rais John Pombe Magufuli

    Habari wanaJF, wa-Tanzania wameoadhimia kuacha tofauti zao za kisiasa na kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Rais wetu Dkt John Pombe Magufuli bado tuna-monitor na ku-evaluata siku 100 za Rais Dkt Magufuli. Feb 14, 2016 tutatoa tathimini ya jumla ya mafanikio na changamoto amezokumbana nazo...
  2. David Serikali

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Spika wa Bunge, Anne Makinda, atangaza kustaafu Siasa

    "Aliyekuwa Spika wa Bunge katika Bunge la kumi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, amesema kuwa hana mpango wa kugombea tena nafasi hiyo na wala hajachukua fomu kama inavyo elezwa na baadhi ya watu" Tunamshukuru kwa utumishi wake.
  3. David Serikali

    JamiiForums Tanzania This is Power, this is Barack Obama

    Masaa kadhaa yasiyozidi siku moja yakiwa yamepita tangu kuripotiwa kwa kujiunga na mtandao wa kijamii wa sura ya kitabu ( Facebook) na shirika la utangazaji la CBN NEWS Rais Barack Obama kafikisha wafuasi zaidi ya milioni arobaini na tano (45mil) Kwa niaba ya Ikulu ya Marekani, Rais Barack...
  4. David Serikali

    JamiiForums Tanzania Wawakilishi wateule 27 wa CUF wamepinga uamuzi wa ZEC baada ya kufuta ushindi wao

    Wakati hali ya kisiasa Zanzibar ikiendelea kuwa tete kufuatia Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Chama chama Wananchi (CUF) kuendelea kupinga kufutwa uchaguzi mkuu visiwani humo. Wajumbe 27 wa baraza hilo waliwasili jana jijini Dar es Salaam na kuzungumza utata wa kisiasa unaoendelea...
  5. David Serikali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nigeria yatwaa Ubingwa Kombe la Dunia U-17

    Timu ya taifa ya vijana ya Nigeria, Golden Eaglets chini ya miaka 17 imetwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa vijana. Nigeria iliyofunga Mali katika mchezo wa fainali kwa mabao 2-0 huku mshambuliaji wake Victor Osimhen akitia nyavuni goli la kwanza na Funsho Ibrahim Bamgboye akaongeza goli la...
  6. David Serikali

    JamiiForums Tanzania Arusha yaongoza kwa umiliki wa Bastola

    Kwahiyo nikija na buku jero naweza pata yangu moja? 👂👂👂
  7. David Serikali

    JamiiForums Tanzania Siku 100 za Rais John Pombe Magufuli

    Tukijaliwa uzima, tutatoa tathmini ya jumla.
  8. David Serikali

    JamiiForums Tanzania Arusha yaongoza kwa umiliki wa Bastola

    Mkoa wa Arusha waripotiwa kuongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya raia wanaomiliki silaha aina ya Bastola. Mkoa huo ulio moja ya mikoa ya pembezoni mwa Nchi yaripotiwa kuwa na matukio ya kutishiana bastola hadharani na sehemu za mikusanyiko ya watu. CHANZO: Mwananchi.
  9. David Serikali

    JamiiForums Tanzania Siku 100 za Rais John Pombe Magufuli

    Habari wana JF, Naomba kuchukua fursa hii kwa unyenyekevu na uaminifu kuwashirikisha katika kuzihesabu pamoja siku 100 za Rais Dkt John Pombe Magufuli madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu kuapishwa kwake. Aliapishwa Alhamisi Novemba 5, 2015 hivyo uhesabuji wa siku mia...
  10. David Serikali

    JamiiForums Tanzania Magufuli apiga STOP Safari za nje ya Nchi; Elimu Bure kuanza Januari 2016...

    Ikiwa ni siku yake ya tatu kulitumikia taifa kama Rais wa awamu ya tano ya jamhuri wa Muungano wa Tanzania baada ya jana kufanya ziara ya kushtukiza Wizara ya fedha na kubaini uwepo wa changamoto kadhaa ikiwa ni pamoja na utoro wa watumishi alioushuhudia,leo Rais John Pombe Magufuli akutana na...
  11. David Serikali

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Masaa kadhaa baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) chini ya Mwenyekiti wa Jaji mstaafu Damian LUbuva kutangaza idadi ya viti maalum vya ubunge kwa vyama vitatu vya siasa Nchini vilivyopata 5% ya jumla za kura zilizopigwa ikiwa ni pamoja na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Chama Cha Demokrasia na...
  12. David Serikali

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wote Bila Kujali Itikadi za Vyama...

    Kero yangu naomba CCM iondoke madarakani :redface::redface::redface: natanguliza shukrani zangu za dhati.
  13. David Serikali

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban ki Moon aipongeza Tanzania kwa uchaguzi Huru na Haki

    Salam za pongezi kitaifa na kimataifa zaanza kutolewa kwa Rais mteule wa awamu ya tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Taifa la Tanzania. Mapema leo baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kumaliza hafla ya kumkabidhi Rais mteule cheti cha ushindi katika ukumbi wa...
  14. David Serikali

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaelekea kumtangaza rasmi Dr John Pombe Magufuli kuwa rais mteule wa awamu ya tano (5) ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Dr John Pombe Magufuli atatangazwa kama rais mteule wa awamu ya tano kwa ushindi wa asilimia hamsini na nane nukta arobaini na sita (58.46%)...
  15. David Serikali

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Taarifa zinazosambazwa kuwa nimekubali kushindwa si za kweli, zipuuzwe

    Mgombea Urais kwa tiketi ya vyama vinne vinavyounda Umoja wa Katiba, UKAWA ndugu Edward Ngoyai Lowassa aandika katika ukurasa wake wa twita na kusema taarifa zinazosambwazawa katika mitandao ya kijamii kuwa kakubali kushindwa ni za uongo na zinapaswa kupuuzwa. Mbali na hiyo, pia katika ukurasa...
Back
Top Bottom