Recent content by IamMrLiverpool

  1. IamMrLiverpool

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Yani siwapendi kabisa kenge wakubwa nyie
  2. IamMrLiverpool

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mheshimiwa spika naomba kuwasilisha.
  3. IamMrLiverpool

    Katika Cabinet Reshuffle inayokuja soon 'Matege Ndani' anaenda Kuula, ila wa Tanga, Lindi na Singida mnaondoka

    Yule wa singida akiondoka kidoooogo nitaanza kuimba wimbo wa Taifa angalau mistari miwili ya kwanza ya ubeti wa kwanza. Nilikuwa nishaacha uzalendo kabisa.
  4. IamMrLiverpool

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hivi kweli dunia nzima ina watu Bilioni nane. Nyie kwenye kutafuta attacking mid wa maaana mkaona Odegaard if all the players in the world kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  5. IamMrLiverpool

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Nawachukia sana kenge nyie
  6. IamMrLiverpool

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenali ana world class player mmoja tu Declan Rice Wengine wote ni a bunch of average players Mpaka mtakapokubaliana na hili ndio mtafanya maamuzi magumu kwa Transfer market
  7. IamMrLiverpool

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hivi mlikosa wachezaji mkaona mumsajili Odegaard yani Ameshindwa fundi Ozil fundi fabregas eti Odegaard ndio aweze.? Tafuteni kocha wa kueleweka na kiungo mshambuliaji wa kueleweka.
  8. IamMrLiverpool

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hivi huwa mpo serious kabisa mnategemea Odegaard awape uefa???? Tafuteni attacking mid wa kueleweka
  9. IamMrLiverpool

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    🤣🤣🤣🤣
  10. IamMrLiverpool

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Na washauri msiingize timu uwanjani
  11. IamMrLiverpool

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwa huyu Palmer mkicheza na Chelsea mjiandae kisaikolojia
  12. IamMrLiverpool

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    As long as arsenali habebi mimi nipo tayari city abebe hata miaka kumi mfululizo. Ibebe timu yoyote epl lakini siyo arsenali.
Back
Top Bottom