Recent content by Danp36

  1. Danp36

    Biashara ya kusafirisha petroleum Tanzania

    Mkuy unaweza Ni Pm mawasiliano yako
  2. Danp36

    Siku ya Wanawake Duniani: Who Are The Top Ten Richest Women In Tanzania?!

    Pasca muweke Angelina ngalula wa Bravo logistic na agricom Anamiliki companies with more than 100 bilions revenues makisio tu
  3. Danp36

    Je, ilikuwa sahihi kwa Rais kuiasa hadharani familia ya Mzee Mwinyi isigombane?

    Hadharani kumeleta picha fulani si nzuri kwa maoni ,nlijiuliza mengi
  4. Danp36

    Vijana wengi hatunyanyuki kiuchumi ni kwasababu tunadate na omba omba

    Mpunguze mizinga, ukiolewa na mwanaume ndio muanze kushare gharama
  5. Danp36

    Nawezaje kujua deni za parking fee?

    Download app ya gefp tanzania
  6. Danp36

    Vijana wengi hatunyanyuki kiuchumi ni kwasababu tunadate na omba omba

    Kweli mkuu kuna ukweli ,na ukiwa na michepuko mingi ndio kwisha. Sasa sijui wanashida kweli, sababu ukitongoza mwanamke haipiti siku tatu vizinga vinaanza , inabidi ugharamie vitu vyake vingi
  7. Danp36

    Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia mauaji ya Aneth Msuya

    Uzuri sikuya kifo kilaa mtu anakiri uwepo wa Mungu, ukishiba kande utasema hayo maneno Waliokana uwepo wa Mungu wanasayansi wa dunia walikiri wakatiwakufa . Sembuse Wewe mwakatumbula?
  8. Danp36

    Video: Dada wa Bilionea Msuya aangua kilio Mahakamani baada ya Mke wa Msuya kuachiwa huru

    Ndugu umeisoma kesi na sababu za jaji kuwaachia huru?
  9. Danp36

    Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia mauaji ya Aneth Msuya

    Siku ya kiama kila mtu atahukumiwa sawasawa na hesabu zake Pia Mungu anahukumu kwa kutoa laana ya vizazi na vizazi Usishangae analipiza kwa watoto wako na wajukuu zako Kwa hiyo do right things bila kumuonea mtu
  10. Danp36

    Nimeamua kupaki gari nitumie usafiri wa umma

    mimi nakaza Kama umeamua kununua gar kubaliana na yote Usipaki mda mrefu litasumbua uwe unaboost weekeend Pia unawaweza panga siku za kutoka balo ubalance hesabu Mfano wiki 2 gari , wiki 2 daladala
  11. Danp36

    Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

    Ofisi ya DCI itenganishwe na ofisi ya polisi Iwe independent km FBI ya usa Pia ikiwezekana. TISS wahusishwe kweenye uchunguzi Inamaana wameshindwa daka mawasiliano ya watuhumiwa na location za siku za nyuma? Inamaana hapo kuna hela imetembezwa kwa hadi mashahidi walegeze ushahidi?
Back
Top Bottom