Recent content by DALALI WA VIAZI NJOMBE

 1. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Naomba kujua jinsi ya kupata namba ya NIDA kupitia mitandao

  wala mie ni mchunga ngo'mbe huku kijijini Changamka dogo ajira hiyo
 2. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Naomba kujua jinsi ya kupata namba ya NIDA kupitia mitandao

  KWEMA humu nilijisajili mwaka jana mwezi wa kumi na moja lakini mpaka leo naambiwa namba bado haijatoka naomba kujua njia za kuipata asanteni.
 3. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Natokwa usaha sehemu ya haja ndogo. Nini tatizo wakuu?

  Siku ya pili leo uume unadondosha usaha tatizo msaada wakuu.
 4. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Picha: Jux akwaa Scandal ya Ushoga

  ➡➡➡➡nakazia
 5. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Hizi picha zina ukweli??

  Tangazo lilipiwe, KWANI UBOHO bado haujafika bongoland
 6. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Stori ya kusisimua - Kizungumkuti!

  Kwa niabaya ya wana jf wote waliopita kimya kimya nasema ubarikiwe sana Bishop Hiluka yusuph, bila kumsahau jacky a.k.a Shunie pongezi nyingi kwenu
 7. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Kwanini Watanzania wengi hawatumii mtandao wa LinkedIn?

  JF kuna raha yake yaani fikiria umeishia darasa la pili halafu unakuja huku unakuwa JF EXPERT MEMBER hapo hata mwenyekiti wa kijiji chenu unakuwa unamwona mshamba tu
 8. DALALI WA VIAZI NJOMBE

  Naombwa kusaidiwa

  Pole mdada, jaribu kumwona daktari kwa ushauri wa kueleweka
Top Bottom