Recent content by daGoldFather

  1. D

    JamiiForums Tanzania Governor Benno Ndulu on the African Economy

    Africa Rising: Policies for Sustained Growth - FORA.tv
  2. D

    JamiiForums Tanzania Why generating power in Mtwara makes lots of Economic sense

    Salaam, Nafikiri mjadala huu unatoa mwanga ss...zingatieni scenerio ambapo gas inaletwa kwa ajili ya kuiconvert kwenye umeme lakini kiasi kingine kwa ajili ya kusambazwa kwa domestic na industrial use kama unavosikia kwamba kuna viwanda 34 vinatumia gas.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya na Uchaguzi Mkuu 2015

    Ahsante mtoa mada(Getstart) hapojuu. Hapa nionavyo mm ni kwamba kwa kujua au kutojua mazingira yanatengenezeka ya serikali iliyopo kutofikia kikomo 2015 au kuharibika kwa vyote viwili; katiba mpya na uchaguzi mkuu Hivo basi tufanye mawili yafuatayo 1. Tuandae mazingira ya kufanya uchaguzi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania wanaJf embu tuweka mambo tunayoyataka kwenye katiba mpya

    Iundwe POLICE COMPLAINT COMMISSION, chombo huru chenye mandate ya kupitia mwenendo wa case yoyote ya Jeshi la Polisi itakayoletwa mbele yake ili kufanikisha dhana ya checks and ballances kwenye chombo hiki muhimu (Polisi) katika kuhakikisha haki za binadamu zinazotarajiwa kuboreshwa ktk katiba...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara Botswana

    Ungeweka angalau contact details zako japo simu no na\au email address, wengine mambo ya ku pm hatujui kabsaaa japo mabiz tunayataka\tunayaweza
  6. D

    JamiiForums Tanzania Samsung tablet 10.1 white 16 gb

    naitaka hiyo tab kama utakuwa na bei nzuri, nipigie 0717309346
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mapungufu niliyoyaona pale Jangwani - muhimu CHADEMA kuyafanyia kazi

    Nafikiri mtoa mada uko sahihi kabisa umetoa very simple but important constructive critisism. Binafsi tathmin yangu ni kwamba mkutano huo ulikuwa more of a PR event kitu nnachokubaliana nacho kabisa kutokana na hali halisi ya chama kinavokua, hivo hayo uliyoyasema yalitakiwa kuzingatiwa...
Back
Top Bottom