Recent content by crispaseve

  1. crispaseve

    #COVID19 Shirika la Afya linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho 'Mu'

    Hawa jamaa wameshatutangulia millions of miles waache wafanye wanachojiskia .. God is the only hope.
  2. crispaseve

    Kuumbwa kwa Adam na Eva mbona kunajichanganya kwenye maelezo ya mwanzo

    Maandiko pande zote mbili yana ukakasi sana.
  3. crispaseve

    Utajiri ulio baharini

    Utajiri upo kila mahali
  4. crispaseve

    Kauli ya Spika wa Bunge Job Yustino Ndugai dhidi ya vijana

    Hii mitamazo ya viongozi wenye nafasi kwetu sisi vijana wa mitaani nitofauti kabisa States za wenzetu huko wanajali sana vijana wao kiasi cha kuweka misingi mizuri ya kuaminika/elimu/maadili/ungozi kwaajili ya mataifa yao baadae, lakini kwetu vijana ndiyo gunia la lawama bila kusahau ni zao lao...
  5. crispaseve

    Ushauri wa Makadirio ya Kodi (TRA) na taarifa za kihasibu

    Tuambie gharama zako boss, kabla raia hawajaanza kukusumbua kwa simu.
  6. crispaseve

    Fursa kwa Wahandishi wa habari (Blog zinauzwa)

    BamizaBlog ambayo unaweza kutumia kwa matumizi yoyote iwe habari,burudani na michezo ina zaidi ya viewer 538,338 ambayo ni nzuri kuanzia kibiashara MaishaKiasiBlog ambayo unaweza kutumia kwa matumizi yoyote iwe habari,burudani na michezo ina zaidi ya viewer 1,2 06,068 ambayo ni nzuri kuanzia...
  7. crispaseve

    kununua account instagram 300k-350k

    Account nyingi zimekuwa za uwizi kuwa makini aisee
  8. crispaseve

    TRA wanampango gani Vijana kwakuweka vigezo vigumu kufanikisha kutuma maombi ya Ajira?

    Ni bora wangetoa option zote tuu hata wale walioko vjijini wawezeze kushiriki suala hili mana ajira ni tatizo la taifa sio mjini tuu
  9. crispaseve

    TRA wanampango gani Vijana kwakuweka vigezo vigumu kufanikisha kutuma maombi ya Ajira?

    Nimekuwa nawasaidia watu ku apply Ajira kwa njia ya tovuti ya utumishi wa umma lakini Hiki kigezo cha kutoa copy vyeti na kupeleka kwa mwanasheria a certify copies zako halafu ndiyo upload kwa njia ya tovuti ya ajira utumishi wa umma siyo kibaya. Bado najiuliza mwanafunzi aliyeoko kijijini...
  10. crispaseve

    Mkopo wa 5M unahitajika

    Huku kunaitwa kuthubutu aisee!
  11. crispaseve

    Anthony Diallo abanwa kona zote nne

    Si vibaya kuangalia ugomvi wa ndugu lakini ushabiki ndiyo umetufikisha hapa Watanzania...
  12. crispaseve

    Ruvuma: Dkt. Mashinji (Katibu Mkuu wa CHADEMA) na Viongozi 8, watakaa Korokoroni Polisi kwa saa 48

    Dunia ya leo inaongelea maridhiano kwenye kilakitu hasa politics cha ajabu hapa nyumbani imekuwa tofauti tunapambana kuvunja na sio kushikilia amani tuliyonayo. In God we trust one wa kuwakamata watakwisha tu!
Back
Top Bottom