Recent content by Countrywide

 1. Countrywide

  Kama unafanya biashara kwa wakati huu ya mikoba, viatu au nguo kutoka Uganda naomba upitie hapa

  Naijua kampala vizuri, sikushauri uende kipindi hiki. Sababu zipo mbili; corona, wenzetu bado wapp serious na hii kitu hivyo wanaweza kukukomalia uwaonyeshe cheti cha corona. uchaguzi, wenzetu uchaguzi ni kitu serious kweli. Unaweza kukutana na majanga ambayo hukutarajia na ubaya wa kampala...
 2. Countrywide

  Kama unafanya biashara kwa wakati huu ya mikoba, viatu au nguo kutoka Uganda naomba upitie hapa

  Sio kweli, mpakani ndio pesa kidogo kuliko kampala. Mpakani huwa ni 1.5, wakati kampala kuna sehemu unaweza badilisha kwa 1.65
 3. Countrywide

  Ramani na makadirio ya materials

  Ushauri; Fanyia kazi sana rendering, hii itakusaidia sana biashara yako kuwa nzuri na kuvutia wateja au Badilisha computer unayotumia, pengine haina graphics nzuri
 4. Countrywide

  Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kigamboni Vikunai vinatazamana na maghorofa ya NSSF

  Siku si nyingi hili eneo kuna watu watalia
 5. Countrywide

  Dharau za Ndugai kwa Watanzania zimepitiliza

  Mtoa mada hivi mawazo yako wewe unatakaje yawe ya watanzania?
 6. Countrywide

  Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

  Kijana wa form 5 dodoma awe na demu chuo kikuu tena Garissa? Hapana haiwezekani
 7. Countrywide

  Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

  Natamani nisiendelee kukujibu, ila ngoja Huyu dogo.inavyoonekana alijiunga na alshabaab muda mrefu tu, kwa kuwa hata alipokuwa shule huko dodoma wamasema alikuwa na pesa nyingi. Inayoonekana hiyo haikuwa mara yake ya kwanza kufika kenya
 8. Countrywide

  Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

  We jamaa bana hivi upo serious? Huyu alikuwa mwanafunzi wa kidato cha tano bihawana secondary huko dodoma. Na aliondoka hapo shuleni bila taarifa, ndio hadi anakuja kukutwa kwenye hilo tukio huko kenya. Wazazi wake walijua yupo shule.
 9. Countrywide

  Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

  Kesi yake ilikuwa ngumu sana kwake, alikuwa anasoma bihawana secondary dodoma, ila siku yanatokea mauaji chuo cha garissa kenya nae alikutwa humo chuoni kajificha. Sasa hapo tu hata ungekuwa wewe usingeweza kumuachia, maana maswali yangekuwa alifikaje kenya?? Alifikaje hiko chuo cha garissa?
 10. Countrywide

  Dar: Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na CHADEMA, Kuongea na Wanahabari

  Matusi yote yale aliyotukanwa na bavicha, simshauri
 11. Countrywide

  Plot4Sale Viwanja vyenye hati kinauzwa mbezi mwisho

  Ushauri: msiwe mnapima viwanja square. Hapo ilibidi iwe 25x16
 12. Countrywide

  Nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA baada ya Viongozi kutimuliwa?

  Mihemko bado mnaendelea nayo. Bahati mbaya kabisa hamumjui ndio maana nikauliza kwanza, huyo hujui baada ya uchaguzi alikuwa na tuhuma za kushirikiana na ccm? Waulizeni viongozi wa chadema Tanga
 13. Countrywide

  Nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA baada ya Viongozi kutimuliwa?

  Huyo dada aliyechuana na mwanafa hivi ana nini au uzuri wake upo wapi?
 14. Countrywide

  Nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA baada ya Viongozi kutimuliwa?

  Anaweza akawa anafaa sana ila yule sio wa mitandaoni, na ndio maana huoni mtu akimtaja na hata wewe jina tu umemsahau. Chadema inaendeshwa kwa matukio na mihemko. Anaitwa Dr.Maryrose
Top Bottom