Recent content by copopu

  1. C

    Almanusura niolewe hotelini, mke wa mtu sumu

    Pole sana mkuu nimecheka mpaka mbavu zinauma
  2. C

    WARNING: Kuwa makini na threads zinazopotosha kuhusu Mungu na uweza wake

    Sasa ndo najua nini maaba halisi ya kwenda shule maana kama mtu anaweza kuongelea kutokuwepo kwa Mungu na nguvu zake inaamaana hyu hata kindagate hajasoma yaan n empty kichwani the idle mind is the work shop of devil
  3. C

    WARNING: Kuwa makini na threads zinazopotosha kuhusu Mungu na uweza wake

    Mungu akusamehe sana hujui hulitendalo kabsaaa nakusikitikia kama umeenda shule maana umepoteza ada ya mzazi bure bora ungeenda kulima
  4. C

    WARNING: Kuwa makini na threads zinazopotosha kuhusu Mungu na uweza wake

    Kumbe nilikuwa sijaelewa topic vzuri kumbe ni mungu ndo hayupo na syo mweza Wa yote n kweli hlo kabsaa mtoa mada lakini Mungu yupo na ni mweza Wa yote kabsaaa.jaman mjue kuna tofauti ya Mungu na mungu
  5. C

    WARNING: Kuwa makini na threads zinazopotosha kuhusu Mungu na uweza wake

    Hakuna mwanadamu yeyote aisyeogopa kifo na nikwasababu hakuna mwanadamu yeyote anayejua maana halisi ya kifo na ndicho kitu Mungu alochokificha kwa mwanadamu awaye yoyote .nikikuuliza Wewe roho yako ikoje au nikikuuliza tokea umezaliwa umeshawah kujua usingizi unakupitia muda gan hujui .vtu...
  6. C

    WARNING: Kuwa makini na threads zinazopotosha kuhusu Mungu na uweza wake

    Hivi mwanadamu anawezaje kujudge nguvu na uwezo wa nguvu za Mungu Wakati yeye mwenyewe hajui hata dakika 2 ktu gani kitakutokea?Ukitaka ujue Mungu yupo waulize waliokuwa wanajenga mnara Wa babeli ili wakamuone Mungu kilichowapata utajua Mungu yupo au hayupo .
  7. C

    WARNING: Kuwa makini na threads zinazopotosha kuhusu Mungu na uweza wake

    Nmefurahi sana maana umeuliza swali ambalo hata Wewe hujui jibu lake wala hakuna mwanadamu anayejua jbu ebu katafute jbu kwann wanadamu wanakufa ukipata jbu rudi Tena na thread yako hapa na ukumbuke siku zote swali lenye jibu pia lina utatuzi wake ukijua kwann tuna kufa uje na jinsi ya kuzuia...
Back
Top Bottom