Recent content by The Eric

  1. The Eric

    Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

    Bado mousof inanibamba kwa bei cheap
  2. The Eric

    Car4Sale Toyota Raum old inauzwa 8ml

    😅😅😅 hii gari ni milioni 5 tu.
  3. The Eric

    Mtumishi wa Halmashauri wilaya ya Hanang atupwa Jela miaka ishirini kwa ubadhirifu

    Wanaonea wanyonge wakubwa wanadunda tu 3.5 aiseee, what about trillions
  4. The Eric

    Mtazamo kwa wafanyabiashara wadogo

    Mazingira tu, yule yuko na mali kwenye shelf huyu mwingine katunduka juani.
  5. The Eric

    Ni ipi sehemu nzuri ya kuanzia maisha kati ya Kibaha mjini na Mwanza kwa mtaji wa milioni 10

    Ningekupa wazo bora kabisa la biashara ya viatu au nguo kama ungependa....... Kwa huo mtaji unaanza na bidhaa chache za jumla na unachukua frame center....
  6. The Eric

    Ni ipi sehemu nzuri ya kuanzia maisha kati ya Kibaha mjini na Mwanza kwa mtaji wa milioni 10

    Una uzoefu au unapenda biashara gani.... Pambana na biashara kwa huo msingi.
  7. The Eric

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Aya sasa nitikisie maboga....
Back
Top Bottom