Recent content by Akhi

  1. Akhi

    Mwenye connection ya biashara ya kuku kwa Zanzibar

    Soko sio kama hakuna kabisaa ila natafuta mtu wa uhakika
  2. Akhi

    Mwenye connection ya biashara ya kuku kwa Zanzibar

    Hio price nilosema kuna mwenzangu anauza wakiwa bandani ila kipindi hiki cha skukuu nilipata bei hiyo na nilieka kuku 700
  3. Akhi

    Mwenye connection ya biashara ya kuku kwa Zanzibar

    Nilipoteza simu na saivi ninalea vifaranga picha sina kwa sasa
  4. Akhi

    Mwenye connection ya biashara ya kuku kwa Zanzibar

    elfu kumi na tatu akiwa kashapekiwa tayari
  5. Akhi

    Mwenye connection ya biashara ya kuku kwa Zanzibar

    Unaongea mambo kirahisi sanaaa
  6. Akhi

    Mwenye connection ya biashara ya kuku kwa Zanzibar

    Mahotelini watu washalizwa sana huko si kwa kukuamini kabisaaa
  7. Akhi

    Mwenye connection ya biashara ya kuku kwa Zanzibar

    Kuku wa mwezi kikawaida wana 1.5kg ila m nishazoea kukuweka kuku mpk wanafikia 2.4kg kwa muda wa wiki 5 mpk 6
  8. Akhi

    Mwenye connection ya biashara ya kuku kwa Zanzibar

    Mkuu wale ni ngumu kukupa connection wanafuga wenyewe wale
  9. Akhi

    Mwenye connection ya biashara ya kuku kwa Zanzibar

    Wakuu bado natafuta mnunuzi wa broilers kwa aliepo zanzibar
  10. Akhi

    Ubinadamu unapo ingia kwenye maslahi ya wakubwa, na kupelekea tafrani

    Mkuu hii stori ishawahi kusimuliwa ila simkumbuki msimuliaji tu nilipoona jina la NOCTON ndo nikakumbuka Ni ndefu kweli yani ila humu jf ishawahi kusimuliwa
  11. Akhi

    Kadogosa: Tumetumia umeme wa 336,000 kwenda na kurudi Dar - Morogoro

    Dah kama ushawahi kutumia vile au ulikua mkurugenzi wa reli kuna China na korea Ila watz jmni [emoji119][emoji119][emoji119]
  12. Akhi

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Shusha mkuu tupo active tushatoka mihangaikoni
  13. Akhi

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Nilisema mm ww unasoma mazimbu na hii ni reli ya kigoma ambayo ilikarabatiwa na wachina 2019 na nilisema ww utakua unaishi maziwa au barakuda
  14. Akhi

    Mwenye connection ya biashara ya kuku kwa Zanzibar

    Kwa kweli wanipe tu Maisha ni mapambano
Back
Top Bottom