Recent content by Code zero

  1. C

    Tanzania National Identities

    But worldwide, the Bar Code technology is being slowly phased out, consequently replaced by Smart Card, according to experts. For the project to be carried out two to three years to come, is not the Smart Card a better idea? the same experts say Smart Card is a hold all thing and more of an...
  2. C

    Mabucha kupigwa marufuku Tanzania

    Nimekuelewa FD. Naona unakubaliana na usemi kuwa "If you cant fight them, join them!" Kila la kheri na maisha yako ya kifisadi!!! (ha haa haaaa!!)
  3. C

    Mabucha kupigwa marufuku Tanzania

    Wana JF, nimemsikiliza Diallo sasa hivi. alichosema ni: "...Tunataka Ifikie mahali nyama iuzwe kwenye maduka...au supermarkets au sehemu zinazoeleweka badala ya kuning'iniza tuu ..." Inaonekana kama hakuna mkakati wotote in place so far na si tamko hasa kuwa nyama ziuzwe kwenye...
  4. C

    Mabucha kupigwa marufuku Tanzania

    Mkuu Kichuguu, heshima mbele! Kila mtu anataka chakula kiuzwe katika hali ya usafi. Kama ni issue ya ku improve standards kwenye maduka ya kuuzia nyama ni sawa tu, watoe maelekezo, mathalan nyama iuzwe kwenye transparent cold shelves nk. Lakini kwenye supermarkets? ziko ngapi Dar peke yake...
  5. C

    Mabucha kupigwa marufuku Tanzania

    " Alisema mpango huo mpya, utawezesha nyama inayotayarishwa nchini kukubalika kuuzwa katika soko la nje ya nchi kwa kuwa bidhaa hiyo itakuwa imetayarishwa na kuhifadhiwa katika mazingira mazuri." This is really another pumba. Hivi nyama iliyoko buchani Tandale kwa Tumbo for local consumption...
  6. C

    JK Awafunga goli watanzania, wao washangilia!

    Jamani, Hivi huyu Daudi Balaa eti ni raia wa USA? mwenye data juu ya hilo amwage hadharani, maana kama ni kweli juu ya hili, basi kuna kazi sana ya state ku deal naye huyu.
  7. C

    CBK Prevented from knowing owners of Helios EB: Why?

    Keeping the shareholders of the Kenya's Equity Bank a secret: why? Look at This: December 17, 2007: Finance minister Amos Kimunya has given Equity Bank and its largest single shareholder, Helios EB, a special nine-year exemption that will prevent Central Bank of Kenya from seeking...
  8. C

    Hivi TANESCO na Tanga Cement kunani lakini?

    Mkuu, Hivi hawa Tanesco inawezekana hawajui hilo unalojua wewe, kuwa wali-by pass connection ya umeme na kuiba? NetGroup waliondoka karibu mwaka sasa umepita. Kama ni hivyo, hilo ni kosa, lakini Mbona walioibiwa hawaongelei? Tusaidie proof au source ya hiyo info.
  9. C

    Ndege ya Turkey Yaanguka

    Duh, yameanza hayo madude kuporomoka, maana tulipumzika kidogo. Ilikatika vipande viwili. Why, is the most serious question whose answers need to be found from black box. RIP!
  10. C

    Wakenya nao wamo (I)

    Hiyo lugha ni burdani tosha!! Safi kabisa.
  11. C

    Vibibi vya Kizungu na vijana wa Kikenya!

    Mkereketwa, kama umesoma maoni ya watu mbali mbali, wengi tunakubali kuwa haya mambo ya vibibi vya kizungu na mayanki wetu yapo kila mahali, hata hapa TZ, ila huyo mshamba anatukana watu badala ya kujadili hoja, na kwa namna fulani amepotosha mjadala kwa kuuteka tumjadili yeye na mapenzi yake...
  12. C

    Vibibi vya Kizungu na vijana wa Kikenya!

    watu wa namna hii nawafahamu sana, nimefanya nao kazi kwa muda mrefu. Huwa wanakimbilia kutisha watu ili wasigundulike ujinga walio nao...maana traditionally wao huwa wanafight kuwa superiors...hata kama hawajui lolote. KUna mmoja alileta ujinga wake kwa prof mmoja pale mlimani, kwa nature ya...
  13. C

    Vibibi vya Kizungu na vijana wa Kikenya!

    Naona Elimu yake ni duni mno kiasi kwamba sasa inamtesa mwenyewe, pengine anaweza akaishi na UFO! He can Go to hell with his stinking, flawed education!
  14. C

    Makamba kafungwa mdomo?

    NI kweli mkuu, inabidi tuanze kutafuta sababu za ukimya huu, asante kwa kukumbusha.
  15. C

    Vibibi vya Kizungu na vijana wa Kikenya!

    WE Mkenya, Its you who needs to learn how to live with what you call positive criticism. After all, you dont seem to understand how to present an argument...but instead you jump into attacking personalities. Dont you see that almost everyone agrees that such sex habit is common in every...
Back
Top Bottom